Jamani msiwaseme vibaya watumishi wa Mungu

Is this the same nabii that sold photocopies of his hand print in Kisongo? Preaching seems to be a lucrative business venture these days, do churches pay tax? I wonder why these "crusades" do not go to impoverished parts of Tz where the gospel hasn't been as well spread as in the big towns, I'm sure that's how Jesus would've wanted it done. It is written "Many will come in my name..."

You who said so, god punishes those who dirten his name. you are among them
 
Miujiza haitokani na huyo mchungaji bali niimani yako tu,hivyo sioni haja ya kwenda kutafuta miujiza wakati hata wewe mwenyewe kama unaamini basi imani yako itakuponya.Wengi huenda tafuta miujiza baada ya kukata tamaa na huko ndio hukutana na nguvu za ziada ambazo huwa ni vigumu kujua zinatoka wapi na hujikuta wakiamini Yesu anatenda miujiza,kuweni makini.
 
Nabii? Dah, haya bwana!


Hapo ndio napopata shida sana hata mimi..........mara mtume; kwani haitoshi ukijulikana kama mtumishi wa mungu tu? walau vyeo kama pastor na bishop vipo kwenye utaratibu wa makanisa....................lakini hili la NABII????
 
kweli Jocyeline wewe ni muuminimtiifu wa ngurumo.

Ila tazama sana maneno yako manaana unapotosha uhalisi wa neno la Mungu. Inaonekana unashabikia miuujiza kuliko injili yenyewe. Pia umesahau au hujasoma kuwa Biblia inasema tujaribu kila roho. Pia kuwa sio wote wanaotumia jina la Yesu ni wa kwake. Sijajua unasimamia nini unaposema tusimtazame mtu ili mradi anatumia jina la Yesu.

Hebu nieleze:
Umeshawahi kuona wapi nabii katika neno la Mungu anajiita au aliintwa MHESHIMIWA?
Ulishawahi kuona ua kusikia wapi mtumishi wa Mungu anatembea kwa king'ora cha polisi a kujitafutia makuu hadi kwenye palte number za magari?
Kule arusha ngurumo alichota watu maelefu kwa maelfu. matajiri na watu wa ICTR walikua wanajaa kwenye ibada zake. Ni wapi kuwa alikua anapata pesa nyingi sana na ndizo zilikua zinamwezesha kutembea kama president na walinzi na magari kibao. Sasa ilikuwje akashindwa kununua kiwanja cha kanisa kwa muda wote huo karibu miaka mitano sasa? Pesa zilikua zinakwenda wapi na kufanya nini?
Wale aliokua amewajaza kwenye kanisa lake kule Arusha kamwachia nani?


Kweli weye ni mwanazuoni; umemswalika Jocelyne maswali ya msingi kabisa......................masikini kondoo wa Arusha wameachwa bila mchungaji! Ama wanasafirishwa dar kuja kuhudhuria ibada?
 
ok mi nakubaliana na yote ya nabii..ila my problem is sijaelewa amenyang,anywa eneo arusha ndio akaja dar???? mh so huku dar eneo amokdi au kuna mtu amejitolea????
 
wajinga ndiyo waliowao, hivi hawa manabii waopata upako miaka hii ya 2000 walikuwa wapi siku zote?
wanakula jasho la wajinga bila kodi,,,,tena wala hawaulizwi kilichoingia,,,,,,,

watu wanahangaika kutafuta miujiza inapotangazwa wakiamini ndo yesu alipo, poleni........... Kweli hawa ndo manabii wale wa uongo walionenwa kuwa watakuwa na nguvu za ajabu,,,,,,
 
Back
Top Bottom