Jamani msichana ana matusi

Jamani msichana ana matusi

Mwanamke yeyote anafaa kuolewa ila mtazamo wako ndo unafaa au haufai kumuoa
 
Pole sana ngurubhe ndo mana mashavu yameigia ndani,..ingawa ulikua na mashavu kama ya kigogo!
 
Kama umekuwa nae kwa miaka7 na bado unamuita demu wako basi unastahili kutukanwa sana hata zaidi ya hapo, nipe number yake nimuongeze reserve ya mitusi mingine. Huna adabu Ngurubhe

bado anafaa kuitwa demu au muhini atakwaje na matusi,wanawake wenye matusi iq yao ndogo na hawafai
 
Ngurubhe

Jaribu kuangalia na familia yao wakoje - baba, mama na ndugu zake wa karibu. kwa kifupi hakufai huyo, mfupa mwachie fisi!!

Mi naona tatizo sio familia,tatizo hapa ni huo muda waliokaa kwenye mahusiano. Dada haoni uelekeo nadhan sasa anatafuta sbb maana huenda kishapata jamaa anaeeleweka.
 
Last edited by a moderator:
miaka saba mbona kawaida,kama girl yupo chuo ina maana wameanza uhusiano high school,we huwezi kuwa na relation kwa miaka 7?

Ni kweli miaka saba na ikifka apirl itakuwa nane,kiufupi nahsi hilo la kuzoeana,lakin kwan hata tungekus tumeoana si bado tungezoeana tu:'🙂-*?! Na huenda hata nisingesema chochote hapa!!!
 
Mi naona tatizo sio familia,tatizo hapa ni huo muda waliokaa kwenye mahusiano. Dada haoni uelekeo nadhan sasa anatafuta sbb maana huenda kishapata jamaa anaeeleweka.

Yote yanawezekana!!!,japo kuna mda nioishawahi kuingia kwenye matatizo fuln nae yaliyo fanya atfte mtu kwa siri waliachana baada ya kuwa anamtreat anavyonitreat mi mm,:-yaani hayo matus nilishaawahi kumpa kichapo but baadae nikahc ujinga nikapotezea
 
Hayo matusi kaanza siku hizi au tangu miaka saba iliyopita?

Amekuwa akichange drastically na kwa sasa ndo amezid,zaman sana alikuwa hata ukimkemea kitu anakaa kimya but kwa sasa uhnmm!!.so amekuwa ni mtu ea kuchange polepole sana
 
Ni kweli miaka saba na ikifka apirl itakuwa nane,kiufupi nahsi hilo la kuzoeana,lakin kwan hata tungekus tumeoana si bado tungezoeana tu:'🙂-*?! Na huenda hata nisingesema chochote hapa!!!

mkuu wanawake wengi mpaka hiyo miaka mingi ya uhusiano utakuwa kashakuzoea,anaweza kupib kwamba huyu jamaa hawezi kuniacha haendi mahali,hebu jitahidi kutomtafuta hata week mbili utaona reaction yake,ukiona kimya basi vumilia ujue alikuwa na mtu
 
Asanteni moderators kwa kuedit title yangu!!!!,but nilitaka ikae vilevile ili ujumbe wangu uifkie jamii,nilichokisema ni hisia zangu,hata mim mwenyewe sikujua naandika nini!!!,sooo ndio hivyo but kwakuwa mmedit pamoja xana;-)
 
Yaaaani mwanamke akitukana kidogo tu au hata akiwa na lugha za kihuni hanifai....ila miaka saba braza mingi sana..
 
Mapenzi haya ya siku hizi jmn. Mi kiukweeeeli sipeeendi mtu anayenitukana ni heri anichapee kama nimekosa na kama yeye kanikosea na najua nikimuuliza atatukana au atakuwa na ghubu aisee nanyamazaaa mdomo natia maji mie.
 
Yani huyo mwanamke kesha kuona wwe (nice guy) na mwanamke akishagundua hilo atakusumbua sana,coz anajua wwe zoba kesha kuona huna ubavu wa kupata demu mwingine mzuri kama yye!,hapo cha kufanya wwe kaa kimya2 usimtafute kwenye simu wala kumuuliza kwa mtu yyote,jaribu kuwa busy na mambo yako,Fanya hivyo angalau hata kwa mwezi mmoja asipokutafuta mwenyewe mpige chini coz huyo lazima atakuwa hakupendi,kumbuka"love is born and love is die" isipokuwa Upendo wa mama ndio unadumu milele!,huwezi kumlazimisha ngombe kunywa ikiwa hataki!
 
miaka saba mbona kawaida,kama girl yupo chuo ina maana wameanza uhusiano high school,we huwezi kuwa na relation kwa miaka 7?

Mmmmh I doubt sio high school labda O level.
Btw; miaka saba kwenye mahusiano nafanya nini? Nimetulia tu nangojea tuzo?? Duh!!! Halafu bado anaitwa girlfriend tu???? mmmmmh kuna wana moyo!!
 
Back
Top Bottom