Jamani msichana ana matusi

Jamani msichana ana matusi

Jomba Demu wk Ndio unamjua zaidi ila je ni muaminifu kwenye mapenzi?je anakutukania wazee/ndugu zako?ww anakutukana au anakutolea maneno tu?
 
Miaka 7 ana she is still a demu to you mr?? Hiyo mitusi inasababu ichunguze tu

Amekuwa akisoma na nikaona sio vema kuwa nae wakat bado anasoma,bt kwa mipango ilitakiwa nimuoe baada ya kumaliza chuo!
 
Ushauri wangu tu "AKUMULIKAYE MCHANA NA KIJIBA CHA MOTO USIKU ATAKUCHOMA MOTO".
 
Jomba Demu wk Ndio unamjua zaidi ila je ni muaminifu kwenye mapenzi?je anakutukania wazee/ndugu zako?ww anakutukana au anakutolea maneno tu?

Yote hayo ni tatzo kwani kwaroz kila tym japo cjawah kuachana nae mija kwa moja but matusi kwangu,mara kadhaa kea familia yngu na hata marafk zangu huyu demu uhhhmm nomaaa,hahauriki wala haambiliki!!! Japo bado tupo kwenye 20s
 
Alishakuona we ni ---- ndo maana anakufanyia ili umuache aende kwa mjanja,miaka 7?utadhani unachukua udokta?
 
Don't mess with university girls. Mabinti wa Chuo ni pasua kichwa, acha kujistress maana mwenzio bado hajajua maisha,yupo busy na Ujana na anahisi kuwa ana options Nyingi sababu ya usichana wake. Akisha ingia mtaani baada ya kumaliza ndio akili zitamkaa sawa ila Kwasasa Wewe mpotezee tu
 
Sasa ndugu yangu mtu bado ni girlfriend tuu anakua na tabia hiyo ukioa si ndio agakupiga kabisa?
Kama yupo mbali anakuwa hivyo mkiishi one house je?!
Ni kheri kuishi kwenye kona ya dari kuliko kukaa na mwanamke mwenye makelele.
And mtu asiehaurika ni ngumu sana kila siku mtakuwa na ugomvi tuu maana yeye atataka njia ya hii na wewe utataka nyingine mwisho wa siku magomvi.
Plus kashakuona ----- tuu hata akitukana vipi huna usemi wala humwachi.
 
Kila mtu ana mapungufu yake, waweza kumuacha huyo ukapata kimeo kingine kikakupa ugonjwa wa moyo bure. Heri huyo unayemfahamu, hilo la kukupandia kichwani liko ndani ya uwezo wako kabisaaaa
 
Sahv fujo nying na matus yakutoshaa sababu wadau na wanao muhudumia wapo weng. Akishamalizaa chuo akaanza sugua bench mtaaa utapata shkamoo kutwa Mara tatu yan mapenz extreeem. Vumilia kwa sasaaa
 
Nipe no zake nimpatie Ushauri.... Ninaamini hautapata tena matusi...

NB;
Mwanaume kutukanwa na mwanamke ni kujitakia.

.
 
Amekuwa akisoma na nikaona sio vema kuwa nae wakat bado anasoma,bt kwa mipango ilitakiwa nimuoe baada ya kumaliza chuo!

Umesema anamaliza chuo mwaka huu.

Rudi miaka 7 nyumba, Inawezekana ulianza naye akiwa F.I....

Una kesi ya kujibu, ya ubakaji.
 
Unataka kuoa muuza komoni? Ulimpata kilabuni nini?au anatoka ukoo wa makonda wa daladala au makuli? Maana hao ndio magwiji wa matusi
 
hua anakutukanaje kwani!?? usikute unaambiwa ukweli we unazani unatukanwa lol

Bosi matus ni matus,kwa mfano mpenzi wako mnapotofautiana kitu chochote si dhani kama busara kusema we ------,----,nk.>🙂 kiufupi mim ni mtu mzima hata nadriki kusema anamatus namaanisha kwani nimeliona ni tatzo kama andekuwa ananiambia ukweli mim nisingesema ananitus
 
mmeanzana akiwa na miaka mingapi? maana bint wengi kama sio anajiendeleza basi chuo huwa na miaka 21-24. napata mashakaaaa!!!!

:focus: kuna uwezekano bidada kakuchoka, amekwita honey kachoka, kakwita baby kachoka, kawikwita my lotion kachoka, mu huby kakachoka, kasubiri kukwita baba fulani haoni dalili, kaamua kukufanya wa DHARULA. Angalia upande wako pia.
 
Sasa ndugu yangu mtu bado ni girlfriend tuu anakua na tabia hiyo ukioa si ndio agakupiga kabisa?
Kama yupo mbali anakuwa hivyo mkiishi one house je?!
Ni kheri kuishi kwenye kona ya dari kuliko kukaa na mwanamke mwenye makelele.
And mtu asiehaurika ni ngumu sana kila siku mtakuwa na ugomvi tuu maana yeye atataka njia ya hii na wewe utataka nyingine mwisho wa siku magomvi.
Plus kashakuona ----- tuu hata akitukana vipi huna usemi wala humwachi.
🙂
Hili nalo neno!!
 
Back
Top Bottom