dalili ya mvua ni mawingu!!!ukikosea kuchagua mke maisha yako yataharibika,tulia uchague vizuri
Amekuwa akisoma na nikaona sio vema kuwa nae wakat bado anasoma,bt kwa mipango ilitakiwa nimuoe baada ya kumaliza chuo!
Ana miaka 23mie nimemzd miaka 6,je ni tatzo no etiii!????
Huyo "demu" wako yuko sahihi kukutukana kwani inaonyesha kuwa kwa muda wote ulikuwa umemfanya gunia la mazoezi na dampo la kumwaga taka mwili zako....sasa ndio amejitambua rasmi na anataka kujiondoa kifungoni....
Kwani mim ni gereza?!