KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,765
- 39,522
Hapana umeelewa vibaya,lakini wewe elewa tu kuwa mpenzi wangu ana matusi na ninachoomba kwako ni ushauri na kama hauna ushauri basi jifanye hujaiona hii thread😛
Kijana acha ubishi....
Hapana umeelewa vibaya,lakini wewe elewa tu kuwa mpenzi wangu ana matusi na ninachoomba kwako ni ushauri na kama hauna ushauri basi jifanye hujaiona hii thread😛
Kuna vitu viingi tu anabifanyia vzr,shida ipo tu hapa kwenye matusi,kwangu miaka saba hii ndio imenifany nihsi kazi kuachana nae!!!