Jamani msichana ana matusi

Umesema anamaliza chuo mwaka huu.

Rudi miaka 7 nyumba, Inawezekana ulianza naye akiwa F.I....

Una kesi ya kujibu, ya ubakaji.

Nishajibu nying sana!
 
mi ningekua yeye ukiiacha aisee unipe na pension yangu kabisaaa.. 7 dead years unantumia tu alafu unataka kuniacha??? hayo matusi ndo umeyaona leo mwaka wa saba??? we huna lolote.. umepata sub basi unatafuta mbinu ya kumuacha
Ngurubhe
 
Last edited by a moderator:
Miaka sabaaa? Uchumba sugu huo, muoe uone kama atakutukana
 
Yani hapo ndio huwa nawainulia wanaume mikono yangu juu.Yani miaka saba leo ndio umeona ana matusi?Duh!ningemjua huyo bidada ningemshauri akuache bado mapema maana kifuatacho kama vile nakiona
 
Unataka kuoa muuza komoni? Ulimpata kilabuni nini?au anatoka ukoo wa makonda wa daladala au makuli? Maana hao ndio magwiji wa matusi
Huwez amin mama yke ameokoka yaani mlokore bt ndio hvo
 
mi ningekua yeye ukiiacha aisee unipe na pension yangu kabisaaa.. 7 dead years unantumia tu alafu unataka kuniacha??? hayo matusi ndo umeyaona leo mwaka wa saba??? we huna lolote.. umepata sub basi unatafuta mbinu ya kumuacha
Ngurubhe

Sio hivyo mkuu
 
Last edited by a moderator:
Yani hapo ndio huwa nawainulia wanaume mikono yangu juu.Yani miaka saba leo ndio umeona ana matusi?Duh!ningemjua huyo bidada ningemshauri akuache bado mapema maana kifuatacho kama vile nakiona

Leo ndio nimefunguka hapa but nimekua nayavumilia hata hivi sio kuwa nimrbreak up bt nataka nijue how to handle her while in this way !!?
 
Miaka saba ni mingi sana kwenye mahusiano. Itakuwa amkuzoea sana kiasi kwamba anakuchukulia wa kawaida sana, huwezi mfanya chochote.
 
Duuh, ndio maana umri wa kuishi ktk nchi yetu ni Miaka michache. Unakumbatia "KAA LA MOTO" then wanaokuangalia unawauliza, "linaunguza?
 
Kuna mdudu anasukuma mavi kwa wale wafugaji wanaelewa nazungumzia mdudu yupi.Mdudu huyu kazoea harufu ya mavi ukimwagia perfume anakufa kwa kutozoea harufu nzuri. Umevumilia matusi miaka 7 ndio maana kakuona mdudu msukuma mavi.
 
huyo hafai mkuu piga chini haraka sana!!
 
Kuna mdudu anasukuma mavi kwa wale wafugaji wanaelewa nazungumzia mdudu yupi.Mdudu huyu kazoea harufu ya mavi ukimwagia perfume anakufa kwa kutozoea harufu nzuri. Umevumilia matusi miaka 7 ndio maana kakuona mdudu msukuma mavi.

Duuuu jaman,ama kweli ukiomba ushauri inatakiwa ukae km dustbin!!! Nimekuelewa lkn mkuu!!
 
Kwanza hio miaka 7 yote unamsomesha upadriso?? Then mwanaume wa kuita mwanamke Demu huyo acha atukanwe tu, then hilo tatizo la kutukana limeanza ghafla?(kama ni ghafla inaeza kua anahasira na ww na kakuchoka maana duh miaka 7 labda kama unataka kumchunguza kujua akizeeka anakuaje ndo uoe) then kama toka mwanzo alikua na hayo matusi na ukavumilia miaka yote saba basi usijali utaweza tu kuish nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…