Jamani Mshahara wa Assistant Lecture ni sh ngapi?

Kiresua

JF-Expert Member
May 13, 2009
1,180
1,500
Uko correct kabisa mkuu,, jamaa yangu ni mdau pale UDSM hii 1.6 to 2.3 ni kwa assistant lecturer, lecturer wanakula kuanzia 2,352,000 to the max of 2.7 million kwenye rank hiyo

Kumbe nachakaaa kwenye mamiradi haya eee!!!?? ngoja

Jamani eee Asanten sana
 

Kiresua

JF-Expert Member
May 13, 2009
1,180
1,500
Izo figure kuna nyongeza za vitu kama house na transport allowance au vimejumuishwa humo humo na je ni kabla au baada ya makato?

Hii ni basic salary yaani kabla ya kukatwa kodi na Social Security!! Nyumba na biasharan nyingine ni mehesabu mengine kabsa
 

Mujumba

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
853
0
Wana JF,

Habarini za asubuhi, naombeni kuwauliza kwa anayefahamu mshahara wa kuanzia kwa position ya Assistant Lecturer kuanzia ni sh ngapi? for both public and private Universities

Pia Lecturer kuanzia kazi ni pesa ngapi!?

Asanteni

udom last month wamelipa 2.4M Gross salary hii ni kufuatia mabadiliko ya salary
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom