Jamani Mshahara wa Assistant Lecture ni sh ngapi?

Kiresua

JF-Expert Member
May 13, 2009
1,180
1,500
Wana JF,

Habarini za asubuhi, naombeni kuwauliza kwa anayefahamu mshahara wa kuanzia kwa position ya Assistant Lecturer kuanzia ni sh ngapi? for both public and private Universities

Pia Lecturer kuanzia kazi ni pesa ngapi!?

Asanteni
 
Ng'azagala

JF-Expert Member
Jun 7, 2008
1,287
1,250
inasemekana kwenye public universities kwa mwaka jana ilikuwa PUTS2 na PUTS3 kuanzia 1,482,800 mpaka 2,078,100
na sasa mshahara mpya (bado ina utata) ni kuanzia 1,646,000 mpaka 2,308,000
 
Bhbm

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
715
250
Most of them wanacheza kwenye 1.5 kwa ufupi ni kuanzia 1.3-1.8 hiyo ni bila makato yoyote. Mfano kama sikosei KIU ni kati ya usd 800-1000 hiyo ni kwa Assistant L, tumaini ni 1.5 hivi na SUT pia ni 1.5 kwa mara ya mwisho nilikuwa najua hivyo but I'm not 100% sure.
 
Kiresua

JF-Expert Member
May 13, 2009
1,180
1,500
inasemekana kwenye public universities kwa mwaka jana ilikuwa PUTS2 na PUTS3 kuanzia 1,482,800 mpaka 2,078,100
na sasa mshahara mpya (bado ina utata) ni kuanzia 1,646,000 mpaka 2,308,000

Salute Mkuu!!
 
HAZOLE

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,515
2,000
apply, do interview, itwa kazini, soma mkataba, kama figure haikuvutii usisaini full stop!!
 
Kiresua

JF-Expert Member
May 13, 2009
1,180
1,500
Most of them wanacheza kwenye 1.5 kwa ufupi ni kuanzia 1.3-1.8 hiyo ni bila makato yoyote. Mfano kama sikosei KIU ni kati ya usd 800-1000 hiyo ni kwa Assistant L, tumaini ni 1.5 hivi na SUT pia ni 1.5 kwa mara ya mwisho nilikuwa najua hivyo but I'm not 100% sure.

Salute sana Kombrade!
 
Mabreka

JF-Expert Member
Aug 29, 2012
709
0
hapa jf kuna watu toka kila idara ndo maana napita kila siku.

Ukikosa majibu hapa jua umeuliza silly qn
 
Nivea

JF-Expert Member
May 21, 2012
7,457
2,000
Last month mshahara umepanda kwa public sectors.uliulizwa ni chuo gani wewe unataka kujua figures sema chuo chenyewe watu wakupe figure mficha uchi hazai,ifm-unaanzia 2.3 na umeongezeka kama laki 3
 
T 2015 CDM

Member
Sep 6, 2012
39
0
inasemekana kwenye public universities kwa mwaka jana ilikuwa PUTS2 na PUTS3 kuanzia 1,482,800 mpaka 2,078,100
na sasa mshahara mpya (bado ina utata) ni kuanzia 1,646,000 mpaka 2,308,000
Uko correct kabisa mkuu,, jamaa yangu ni mdau pale UDSM hii 1.6 to 2.3 ni kwa assistant lecturer, lecturer wanakula kuanzia 2,352,000 to the max of 2.7 million kwenye rank hiyo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom