jamani msaada. Nakufa kwa sababu ya meseji hii.

jamani msaada. Nakufa kwa sababu ya meseji hii.

Huna chako!
SIMU SI YAKO LAKINI UNA SOMA SMS.
 
Ungeikuta kwenye outbox au sent items ingekuwa ni ishu, ila kama ni inbox tu sioni tatizo.

Otherwise tuambie kuwa ilikuwa ni mtiririko wa kuchat baina ya mpenzio na huyo jamaa mtumaji..
 
Ulifikir uko peke yako mkuu sasa huo ni mfano bado matendendo jaribu kuwa na akiba ya asila utoe zote.maana utaaribu kabsa......
 
kuwa mkakamavu kuzoea msg kama izo pindi unapotaka kujipa presha za kusoma msg ktk simu ya mpenzi wako kiwiz wiz!
 
yanini kujitia presha na simu ya mwenz wako
 
wewe si umeshamega pako..
Achia na wenzako...kwani ulimkuta kigoli!?
 
Tuliza akili hyo ni msg tu.. inawezekana hakuna kinachoendelea acha presure jaribu kufatilia taratibu na usionyeshe kuwa kuna kitu umeona kwenye cm yake....na ukiona c mwaminif uamuz unao mwenyewe
 
kwamba unamaanisha unataka kufa ama
serious ucnambie kama umefikia huko ndugu yang maisha yanaendelea wala usiumze kichwa kivile

tatzo linalotukumba sisi wadada ni kukurupuka kufanya maamuz ya ajabu mwsho wa siku kuambulia vidonda vya tumbo kama sio pressure

tuliza akili bibie haya mambo huwa yanaenda automatic
 
kama unajiamini mpigie simu huyo jamaa uongee naye kwa kirefu na mapana............
 
kupekua simu ya mpenzi wako ni kujitaftia maumivu tu.
 
ama kweli love is blind sasa umeshaona kuwa yuko interested na mtu mwingine unatafuta ushauri gani make up your mind na ufanye maamuzi wewe mwenyewe kusuka au kunyoa.
 
Back
Top Bottom