NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,284
Kama meseji ya kutongozwa unapata presha siku ukimuona hata na rafiki si utaenda kujitundika...
Watu wengine hata hamko kwenye ndoa presha nyingi, unapotezea unasakua kwingine.. Watu milioni ngapi mkocompatible, siku zote yupo someone who is better, tusikae na kujidanganya, sio movies hizi, this is reality, ukihold onto one hutaki kulet go unakua -----, afu unaiga ya tv.. zamani ukizingua anaenda kwingine, hakuna lawama... mapenzi mapya hua matamu sana