jamani msaada. Nakufa kwa sababu ya meseji hii.

jamani msaada. Nakufa kwa sababu ya meseji hii.

jamani baada ya kuwa nae kwa muda mrefu nimejiroga kuchungulia kwenye inbox ya simu ya mpenzi wangu na kukuta ujumbe huu.
Nimeutafakri na na kujikuta sina hata uwezo wa kuandika meseji ya aina hiyooo. Uuuwiiiii kumbe mapenzi ujanja.. Nalia miyee.
"seriously I real like u, and for sure I'm real interested to b with u.
I see u as the source of my happiness...
Plz plz do not turn this down.
I can see the hope in u and
I promise to make u happy for all the time u will be with me. u will never regret bng with me.
I real need ur presence.
xxxxx"
sijui nifanye nini???
Usisahau ujanja kunywa supu ya pweza
 
kuwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani.Mambo ya ndani usipende kutoa nje.
 
Aiseee.......siku nyingine usirudie tena kukagua simu ya mpenzio utakufa kabla ya siku zako bure.
 
...ukiona manyoya ujue na digestion imeishafanyika...
 
Hivi mtu unaanzaje kupekua simu ya mwenzio?

There is something called privacy and it should be observed.
 
Mbona message yenyewe ya kawaida sana!
 
jamani baada ya kuwa nae kwa muda mrefu nimejiroga kuchungulia kwenye inbox ya simu ya mpenzi wangu na kukuta ujumbe huu.
Nimeutafakri na na kujikuta sina hata uwezo wa kuandika meseji ya aina hiyooo. Uuuwiiiii kumbe mapenzi ujanja.. Nalia miyee.
"seriously I real like u, and for sure I'm real interested to b with u.
I see u as the source of my happiness...
Plz plz do not turn this down.
I can see the hope in u and
I promise to make u happy for all the time u will be with me. u will never regret bng with me.
I real need ur presence.
xxxxx"
sijui nifanye nini???

Nenda kaipekue tena ili ufe kabisa,
Yeye anapekuaga sim yako?ndio nyie mnaowasachi walet waume zenu.
 
Kama ni demu anatongozwa na inabidia haraka sana pata hiyo number ganda nayo. Halafu muulize demu wako uone atakujibu vipi. Ila katika mapenzi ni mtihani sana inabidi wote muwe na msimamo. Kama wewe ni mwanamke umekuta sms ya namana hii jua jamaa anakutumia tu ila kuna kitu pembeni anatafuta!!! Piga chini fasta wala no discussion!!! Men are like buses, you missed one you catch the next one!!! Likewise kwa madude, ukiona mwanamke anakuzingua tupa kule, wako wengi wazuri!!! Mambo ya kufetuliana risasa hayana nafasi!!! Suppose umefyetua risasa, ukaua halafu wakati unajipiga wewe ukajikosa na risasi zikaisha!!! Utanyongwa!!! Kimbia fasta kama mambo hayaendi, usije juta!!
 
Mwaya muulize kuhusiana na sms jibu atakalokupa litakuwa reference ya jambo lijalo na yeye atajua umemjua mienendo yake....., uaminifu kipindi hiki ni janga la mahusiano hasa katika mitandao ya kijamii
 
jamani baada ya kuwa nae kwa muda mrefu nimejiroga kuchungulia kwenye inbox ya simu ya mpenzi wangu na kukuta ujumbe huu.
Nimeutafakri na na kujikuta sina hata uwezo wa kuandika meseji ya aina hiyooo. Uuuwiiiii kumbe mapenzi ujanja.. Nalia miyee.
"seriously I real like u, and for sure I'm real interested to b with u.
I see u as the source of my happiness...
Plz plz do not turn this down.
I can see the hope in u and
I promise to make u happy for all the time u will be with me. u will never regret bng with me.
I real need ur presence.
xxxxx"
sijui nifanye nini???

MMHH!! uliwezaje kuikariri message yote hii?

hebu tuambie Kashindi
 
Last edited by a moderator:
Did i miss u or....

Mapenzi mapenzi mapenzi mapenziiiiiiiiii...we acha tuu

dah! yani kuna watu unawamiss mpaka ukiwaona moyo unalia paaaaah!!!
Chocs habari za siku nyingi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom