Jamani Msaada kwa Anae ujua wimbo huu

Jamani Msaada kwa Anae ujua wimbo huu

Monsgnor

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2012
Posts
551
Reaction score
564
Jamani mwenye kujua jina la huu wimbo au kama unao unaweza kunitupia hapa,umeimbwa na mkenya. Lyrics zake ni hivi! Nilikuwa na mpenzi wangu, Tulipendana Kama nyama Choma, alibahatika kwenda ng'ambo, chuo kikuu kwenda kusoma, miaka mitatu kule Japan kusomea udaktari.....,

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
What a coincidence, wakati nasoma post yako one of my colleague alikua ametoka kusikiliza. So i did you a favor, there you go. Cheers
View attachment Freshly_Mwamburi_Stella.mp3​
 
What a coincidence, wakati nasoma post yako one of my colleague alikua ametoka kusikiliza. So i did you a favor, there you go. Cheers
View attachment 116787​

Ndio raha ya jamiiforums wabalikiwe walioianzisha. Ila inabidi kuichangia buku 30 ili idumu
Mimi nimeu-download kuusikiliza ... just for curiosity juu ya ujumbe uliokuwepo kwenye huo wimbo as jamaa mpaka kaamua kuomba msaada JF.

But its a nice song
 
Back
Top Bottom