Totos Boss JF-Expert Member Dec 30, 2012 5,456 1,565 May 31, 2016 #2 Hakuna cha mmasai ni mikwanja tu hapo
Okhondima JF-Expert Member Jul 10, 2013 1,209 934 May 31, 2016 #3 Mmasai wa pwani huyu,sijui hata kama anapajua kijijini kwao. YNWA
PAGAN JF-Expert Member Aug 19, 2014 11,766 19,298 May 31, 2016 Thread starter #4 Mama Yeyoo akiona anaweza kulia, maana Morani tangu arudi safari ya Mombasa siku hizi haeleweki. Hata sime na rungu siku hizi hataki kubeba.
Mama Yeyoo akiona anaweza kulia, maana Morani tangu arudi safari ya Mombasa siku hizi haeleweki. Hata sime na rungu siku hizi hataki kubeba.
muhomakilo jr JF-Expert Member Jul 28, 2013 14,814 12,863 May 31, 2016 #6 PAGAN said: Mama Yeyoo akiona anaweza kulia, maana Morani tangu arudi safari ya Mombasa siku hizi haeleweki. Hata sime na rungu siku hizi hataki kubeba. Click to expand... Ha ha ha alikuwa Mombasa?...
PAGAN said: Mama Yeyoo akiona anaweza kulia, maana Morani tangu arudi safari ya Mombasa siku hizi haeleweki. Hata sime na rungu siku hizi hataki kubeba. Click to expand... Ha ha ha alikuwa Mombasa?...
1 1954 JF-Expert Member Nov 14, 2006 11,219 13,658 May 31, 2016 #7 Totos Boss said: Hakuna cha mmasai ni mikwanja tu hapo Click to expand... Hayo ni mavazi tu, hakuna cha mmasai hapo, anaweza kuwa mngoni, mzaramo au mbondei....
Totos Boss said: Hakuna cha mmasai ni mikwanja tu hapo Click to expand... Hayo ni mavazi tu, hakuna cha mmasai hapo, anaweza kuwa mngoni, mzaramo au mbondei....
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,156 13,249 Jun 1, 2016 #8 yaani mwanzo mwisho hajaruka juu hata kamoja huyo hata kwenye ukwavi hayupo