Jamani mlioko huko Mzumbe tafadhali tupeni ukweli wa madai haya mazito

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Hii nimeitoa gazeti la mwanahalisi Jumatano November 4-10, 2009.
kati ya mawaziri waliokuwa na kashfa ya kujipa cheo cha udaktari wa falsafa (Dr.) wawili wameanza kukata shule Mzumbe University wakisomea degree ya uzamivu ya falsafa. Aidha wakufunzi 12 Mzumbe waliokuwa na PhD zenye utata wamevuliwa.
orodha yao ni kama inavyoonyeshwa hapo chini. Ukitaka kuhakikisha soma current propospectus ya Mzumbe University utaona wameandika wana masters tu. pata majina kamili.
mawaziri wanaosoma Mzumbe ni
1. Emmanuel Nchimbi
2. D. Kamala
wakufunzi waliovuliwa PhD zao ni pamoja na
1. D. Kamala
2. Moses Warioba
3. Christopher Sotta
4. Aestarch Kiwango
5. Colman Riwa
6. Leonard Shio
7. Mujwahuzi Njunwa
8. Prosper Ngowi
9. Benard Nsana
10. Gabriel Elisante
11. Didas Mrina
12. Raphael Habi.
regards,
 
Huyo Moses warioba si aliwahi kuwa Deputy chancellor hapo MU?hii nayo kali sasa!!!hao wanasiasa wawili hapo juu hawana cha kusoma wala nini wanasubiri Phd za kupewa tu...hv Nchimbi ana Muda wa kusoma kweli??hilo hata akilini haliniingii kwa sasa tunaomfahamu Nchimbi tusaidiane katika hili.
 
hii ni weakness ya systems za nchi hii.yaani mtu mpaka amekuwa mhadhiri for years leo unamvua u Dr. this is nonsense
 
Huyu Warioba ndio alikuwa makamu wa Chuo miaka mingi na ndio maana graduates wa MU wengi ni vihiyo!!Sasa hawa jamaa kuna utaratibu gani kuhakikisha wanarudisha stahili waliokuwa wanapata kana vile wana PH.D na kumbe hawana? Hii ni sawa na kosa la jinai la EARNING MONEY BY FALSE PRETENSES!! Hawa wanastahili kupelekwa lupango whether ni wanaMtandao au la!
 
Hiki kilikuwa kinaitwa chuo cha uongozi na maendeleo. dada na kaka wa magogoni. Kwahiyo Warioba ni victim wa mabadiliko yanayoendelea.
 
Hizo Phd feki, hawakupewa na MU, kilichopo ni udhaifu wa ambao Tanzania ni ujanja wa kipuuzi wa kufoji kila eneo. Ukifanya tathimini utakuta maeneo mengi yana kashifa, ila kawaida ya watanzania , kama mtoto wa shangazi anakula basi haina shida, nongwa mwanaharafu akigusa.

Tanzania uozo juu ya uozo, nenda taasisi yeyote.

Hofu yangu isije ikawa hata mabomu na mizinga na minyambizi ya kulinda nchi nayo vihiyo, basi Osama atatesa kila eneo.
 
Huyu Warioba ndio alikuwa makamu wa Chuo miaka mingi na ndio maana graduates wa MU wengi ni vihiyo!!Sasa hawa jamaa kuna utaratibu gani kuhakikisha wanarudisha stahili waliokuwa wanapata kana vile wana PH.D na kumbe hawana? Hii ni sawa na kosa la jinai la EARNING MONEY BY FALSE PRETENSES!! Hawa wanastahili kupelekwa lupango whether ni wanaMtandao au la!

Mkuu si kweli kwamba wanafunzi wa mzumbe ni vihiyo hilo nakataa labda kama una sababu binafsi
 
I cant suggest to my relative to attend Mzumbe,where he/she can be taught with a guy with a fake Phd
 
Nashukuru sama Jamii Forum kwa kutupa watu wanaoweza kutafiti hasa kuhusu Elimu.Elimu ya Tanzania inazidi kushuka kutokana na watu kujipa au kununua udaktari.Nalionea huruma taifa langu,Naamini ni wasomi pekee wazalendo ndiyo wanaoweza kunusuru Taifa.
 
Hiki kilikuwa kinaitwa chuo cha uongozi na maendeleo. dada na kaka wa magogoni. Kwahiyo Warioba ni victim wa mabadiliko yanayoendelea.

Ndio maana kipindi fulani ilipoletwa hoja ya kipi bora kati ya UDSM na MU kuna watu waliiponda sana MU kwa kigezo cha walimu waliopo hapo,ila bado tu watz tukabisha. Haya sasa mambo ndio hayo yanajifunua. Mwenye data za walimu wenye PhD fake UDSM plz amwage hapa tuone!
 
Mkuu si kweli kwamba wanafunzi wa mzumbe ni vihiyo hilo nakataa labda kama una sababu binafsi

Sheikh...inawezekana si vihiyo maana conclusion ya ndugu yangu hapo juu ni kali sana na inauma ila sasa kama una wahadhiri kibao wenye elimu za kughushi basi kwa kweli unashawishika kuamini hata zao la hawa wahadhiri ni uozo...pole najua imekugusa!
 
Ndio maana kipindi fulani ilipoletwa hoja ya kipi bora kati ya UDSM na MU kuna watu waliiponda sana MU kwa kigezo cha walimu waliopo hapo,ila bado tu watz tukabisha. Haya sasa mambo ndio hayo yanajifunua. Mwenye data za walimu wenye PhD fake UDSM plz amwage hapa tuone!

hutapata hata mmoja labda Dr.Amani aliyeichukulia mahakami baada ya Proff. Osorro kumng'angania kwa miaka kadha lakini naye pia alistahili kupewa.

Ila ngoja tusubiri huenda wapo?
 
Waliisema sana MU bila kuzingatia that wahusika wala PhD zao sio za MU na pia tatizo la vyeti vya kughushi au vilivyo chini ya kiwango liko sehemu nyingi km ilivyogundulika karibuni!
 
Back
Top Bottom