Jamani mke wangu amejifungua muda tu. Hana tumbo kubwa lakini ile mikunjo ya tumbo inatokaje?

Uzazi ni chemical change.
Sasa kama umesoma kidogo mambo hayo ya chemical change utagundua mambo yafuatayo;
It is necessary for change in shape and sometimes colour even size
It gives out sound or noise
Ninayoipenda ni hii, it is not reversible (haiwezi kurudia hali ya kwanza)
 
Mkuu hii mikanda alipomaliza kujifungua ndio alitumia ndio maama tumbo lake limerudi kama mwanzo. Shida ni mikunjo.
Hii mikanda haiondoi mikunjo. Ni kurudisha tumbo tu.
Apo Ni suala la misuli TU inakomaa kidogo kidogo,

Afanye TU mazoez ya tumbo na ajiepushe kushiba Sana.

Binafs shemej yako nae Alkua nayo baaada ya kujifungua.

Ila nligombana nae Sana KWENYE zoezi la kuvaa Huo mkanda wa tumbo

Pia,
tumegombana Sana na wakwe zangu kumlisha ovyo ovyo.

Kafanya Sana mazoez madogo madogo

Nashkuru mwaka mzma baada ya kujifungua hakunenepa.

Sahv nkiangalia tumbo lake Kia's flan naridhika.

Japokua,
Haijaisha Moja kwa moja.

Ila tumbo liko compact Kabisa, Ni gumu sio tepe tepe Kama ilvokua mwanzo.
 
Ooh Ok. Asante sana aisee Kwa ushauri.
I appreciate 🙏🙏
 
Atafute tummy tuck cream..awe anapakaa...na afanye mazoezi.
 
Usiwe obsessed na picha zake za zamani, mchukulie hivyo hivyo tu... na ukirogwa kumweleza haya mkeo utasikilizia vita yake!
 
  • Thanks
Reactions: B51
Mkuu huko ndo kuoa,kiufupi mwanamke baada ya kujifungua anabadilika sana,wachache sana ambao hubakia kama awali kabla ya kujifungua...binafsi wife hajabadikika kabsa kitu ambacho nashangaa sana maana watu ambao nawafahamu wamebadilika sana baada ya kujifungua kama tumbo kuwa kubwa,maziwa ,wengne mwili hufutuka yaan balaa kama una roho ndogo unaweza muacha mkeo
 
Hiyo mikunjo itapotea kabsaa ndugu ,mie pia mzazi mwezangu alikuwa nayo with time inapotea na anarudi kuwa na tumbo nzuri kama zamani

Tuwaheshimu wake zetu maana ndo wanatufanya tuwe akina baba fulan .

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Dah inafurahisha. Haya bhn, watu wanapenda umbile na sio moyo. Wataachwa wengi bs maana kuzaa ni lazima. Ndo mn michepuko haipungui duniani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom