Jamani mimi mapenzi tena basi!

Jamani mimi mapenzi tena basi!

...

4. Kuwa na kademu kamoja kama mke wako. Kijana lazima uwe na vidosho hata vitano. Ukiwa navyo hivi huwezi kuleta mada za namna hizi huku.

We unafikiri demu gani atakubali kuwa na mwanaume aliye-single. Mademu hupenda kusikia wasifu wako unaokutambulisha kama mwanaume rijali. Na urijali ni nini kama si kuwa na mademu wengi.
...

Nimetoka njia hiyo hiyo, umaskini ni unauita kwa mikono miwili.
Nimefulia kushinda AT na Benja kwenye wimbo wao wa Nimefulia.
 
Umasikini ni kichwa cha mtu mkuu.

Aliekuambia kuwa na mademu wengi ni umasikini ni nani?
Au wewe unahonga
 
Habari za mwezi mtukufu wa ramadani!

Mimi ni mgeni humu jamii forums lakini nahisi nyinyi ni watu wenye upendo na ushauri mzuri basi naombeni ushauri wenu.

Sijui nina kasoro gani maana kila ninapopenda natendwa, sijui ni kwanini kwa sababu ninadhani ninavyo almost vitu vyote ambavyo mabinti au wanawake hupenda kwa mwanaume, lakini nashangaa kila mwanamke nimpendae mwisho wa siku huishia kunitenda, kama sio kuniacha basi atanisaliti.

Ngoja kwanza nitoe wasifu wangu, mimi ni kijana wa makamo nina miaka 27 kwa sasa, nina kazi nzuri inayonilipa vizuri mbali na hapo nina biashara zangu binafsi za nyumba na viwanja (real estates) zinazoniingizia si chini ya laki 5 kwa siku namshukuru mungu pesa ya kubadili mboga na mafuta ya gari haisumbui. Pia nimebahatika kupata nafasi ya kuhudhuria gym kila siku tano za wiki hivyo mwili wangu unaonekana vyema na pia sura yangu si nzuri wala si mbaya nadhani nipo kwenye kundi la watu wa kawaida ki mtazamo wa sura. Ukija katika upande wa uanaume ki ukweli namshukuru mungu kanijalia mtarimbo wa maana na show napiga ya uhakika siyo kwamba najisifia ila huo ndo ukweli halisi, kiufupi bao la kwanza hua hata sipumziki naunganisha, (hapo kama nimeenda kavu na binti ninae muamini kiafya).Na kila binti niliyewai kushiriki nae tendo la ndoa hudhihirisha dhahiri ufundi wangu katika shughuli hiyo.

Lakini cha ajabu nimekua mtu wa nuksi kila binti ninaeamua kua nae katika uhusiano mwisho wa siku huishia kuniacha au kunisaliti (Kunicheat) najiuliza why? coz ninampa kila anachohitaji kuanzia mapenzi mpaka basic needs n.k.

kilichofanya niandike waraka huu ni binti niliyempata mwaka jana mwezi november ambae alikua tofauti na wengi walionisaliti, yeye alionekana innocent sana kuanzia sura mpaka matendo basi nikasema asante mungu baada ya kusalitiwa na wanawake kama kumi hatimae umenipa binti wa ndoto zangu. Yani akaichukua akili yangu akanifanya nimuamini kupita maelezo, na wiki mbili zilizopita nimetoka kumtolea mahari baada ya kupata ujauzito.

Lakini navyoandika huu ujumbe kwa sasa ni hivi binti huyo nimemfumania live akiwa na tauro tu na njemba jingine kwenye nyumba jirani hapa mtaani kwetu kwa msaada wa wasamaria wema, ki ukweli niliishiwa nguvu na mpaka sasa navoandika sijui nifanye nini maana hata wazazi wa pande zote mbili zijawaeleza kilichotokea na binti analia mda wote anaomba nimsamahe lakini moyo wangu umekua mgumu kumsamehe roho inaniuma sana na nimeanza kupata mashaka uenda mimba siyo yangu.

Sasa hapa nilipo nimechanganykiwa nimenunua mapombe makali ndiyo nakunywa 24 hours sijui nifanye nini naumia sana na binti huyu ki ukweli nampenda sana, ndipo nilipomshirikisha rafiki yangu mmoja ndo akanielekeza nije huku jamii forums uenda nikapata njia.

Jamani naombeni ushauri wenu coz nahisi kufa kufa hivi..!
Achana nae hyo akufai njoo kwangu utulize akili mana me mwnyew nmesalitiwa wiki tu imeisha
 
Pengine mpole na mstaarabu sana kizazi cha 4g kinapendwa kupendwa na wanaume wakorofi.lakin pia wewe bado kijana usjali mambo ya takaa sawa.kinge ujiulize ni kinani na wapi unapata wanawake wako pengine inaweza ikawasababu easy come easy go
 
Nov. hadi May hii umetoa na mahari??
Ukapiga apate mimba ndio ukatoe mahari?..ishu ya mahari ilianzaje anzaje kwa posa ya kawaida au kuuwa soo la ujauzito? Amini usiamini hapo umeliwa timing dogo.Ulishaharibu msingi wa uchumba wenu, ulipaswa utumie muda sana kutafuta kujuana na mwenzio. Fahamu kuwa huyo alijua unataka uone km yuko fertile au lah! Hivyo akaamua kufanya yake na msela wake faster apatee mimba ili ndoa ifungwe, na ndio huyo uliemkuta anakula tunda unalolilia. Na hii ndio udhaifu uliokugharimu kwenye mahusiano yaliyopita. Fedha,Usharo + kupiga vizuri papuchi havikusababishii umwin mwanamke kwa 100% not even 50%. Without material things, just be real on who you are.Unapokuwa naye ishi maisha yako na yake..Na hiyo ndiyo silaha ya Mtu makini.
Daah nimekuelewa mkuu
 
unajua tatizo letu wanaume wengi linapokuja suala la kuwa na mpenzi /mwanamke huwa tunakimbilia kuangalia sura au umbile zuri ili tuheshimike mtaani.kimantiki hawa viumbe wa aina hii ni wasumbufu sana wakiringia uzuri wao.issue sio uwezo au kumtimizia wahitaji yote.hawa binadamu ni wadhaifu Mara nyingi kuhimili mikimikiki ya kutongozwa wameumbiwa huruma kama vile sisi wanaume tulivyo dhaifu kwao kimapenzi.hivyo basi tulia tafuta mwanamke kwa vigezo vya maadili,dini,na kujitambua.sio sura au figure, huyo piga chini mimba sio sababu kwani mwenyewe huna uhakika kama ni ya kwako.
Asante kwa ushauri ndugu yangu
 
Habari za mwezi mtukufu wa ramadani!

Mimi ni mgeni humu jamii forums lakini nahisi nyinyi ni watu wenye upendo na ushauri mzuri basi naombeni ushauri wenu.

Sijui nina kasoro gani maana kila ninapopenda natendwa, sijui ni kwanini kwa sababu ninadhani ninavyo almost vitu vyote ambavyo mabinti au wanawake hupenda kwa mwanaume, lakini nashangaa kila mwanamke nimpendae mwisho wa siku huishia kunitenda, kama sio kuniacha basi atanisaliti.

Ngoja kwanza nitoe wasifu wangu, mimi ni kijana wa makamo nina miaka 27 kwa sasa, nina kazi nzuri inayonilipa vizuri mbali na hapo nina biashara zangu binafsi za nyumba na viwanja (real estates) zinazoniingizia si chini ya laki 5 kwa siku namshukuru mungu pesa ya kubadili mboga na mafuta ya gari haisumbui. Pia nimebahatika kupata nafasi ya kuhudhuria gym kila siku tano za wiki hivyo mwili wangu unaonekana vyema na pia sura yangu si nzuri wala si mbaya nadhani nipo kwenye kundi la watu wa kawaida ki mtazamo wa sura. Ukija katika upande wa uanaume ki ukweli namshukuru mungu kanijalia mtarimbo wa maana na show napiga ya uhakika siyo kwamba najisifia ila huo ndo ukweli halisi, kiufupi bao la kwanza hua hata sipumziki naunganisha, (hapo kama nimeenda kavu na binti ninae muamini kiafya).Na kila binti niliyewai kushiriki nae tendo la ndoa hudhihirisha dhahiri ufundi wangu katika shughuli hiyo.

Lakini cha ajabu nimekua mtu wa nuksi kila binti ninaeamua kua nae katika uhusiano mwisho wa siku huishia kuniacha au kunisaliti (Kunicheat) najiuliza why? coz ninampa kila anachohitaji kuanzia mapenzi mpaka basic needs n.k.

kilichofanya niandike waraka huu ni binti niliyempata mwaka jana mwezi november ambae alikua tofauti na wengi walionisaliti, yeye alionekana innocent sana kuanzia sura mpaka matendo basi nikasema asante mungu baada ya kusalitiwa na wanawake kama kumi hatimae umenipa binti wa ndoto zangu. Yani akaichukua akili yangu akanifanya nimuamini kupita maelezo, na wiki mbili zilizopita nimetoka kumtolea mahari baada ya kupata ujauzito.

Lakini navyoandika huu ujumbe kwa sasa ni hivi binti huyo nimemfumania live akiwa na tauro tu na njemba jingine kwenye nyumba jirani hapa mtaani kwetu kwa msaada wa wasamaria wema, ki ukweli niliishiwa nguvu na mpaka sasa navoandika sijui nifanye nini maana hata wazazi wa pande zote mbili zijawaeleza kilichotokea na binti analia mda wote anaomba nimsamahe lakini moyo wangu umekua mgumu kumsamehe roho inaniuma sana na nimeanza kupata mashaka uenda mimba siyo yangu.

Sasa hapa nilipo nimechanganykiwa nimenunua mapombe makali ndiyo nakunywa 24 hours sijui nifanye nini naumia sana na binti huyu ki ukweli nampenda sana, ndipo nilipomshirikisha rafiki yangu mmoja ndo akanielekeza nije huku jamii forums uenda nikapata njia.

Jamani naombeni ushauri wenu coz nahisi kufa kufa hivi..!
Unataka ushauri gani?huna akili zako mwenyewe kuangalia tukio na ushauri unaoomba!jibu unalo hapo ulipo mkuu,au hulitaki?Weka ule wimbo wa' waache waoane'uusikilize.
 
Asante ndugu yangu lkn kinachonisumbua ana ujauzito ambao sijui na sina uhakika km ni wangu au si wangu, nimebaki njia panda sijawai kupanga mtto wangu alelewe na mama wa kambo au baba wa kambo.
Sasa kaka kuhusu ujauzito ickupe shida msaidia kumtuza kisha utapima DNA ikiwa sio wako uciumie kwani yote ni majaribu mungu anaendelea kukutafutua akupendae sorry kama ujapenda ushaur wangu
 
Unajua Mapenzi Ni siri kubwaaaaa!!! Je ukiwa Na mwanamke huwa Unamtreat VP.Kwa Maana ya kauli?? Je unafanya ahisi yeye Ndo yeye?? Maana kwa uliyotaja Ni dhahiri kwamba wanawake wengi wangependa wakumiliki, but inaonekana kauli ya majisifu au kumchukulia mwanamke as Trash, ushauri: mbali Na kuwa Na kipato Jaribu kuwa mnyenyekevu kwa wanawake kwa kauli tulivu Na ya kubembeleza.Mara nyingi wanaume wenye kipato kama wewe huna basi wa naweza kuwafanyia wanawake chochote,mfano,wakati wa tendo unamparamia kama jogooooo, chumbani hakuna kumuandaaa hapo lazima akimbie, au unampatia msaada wowote huku unamsimanga au anakula unamsimanga' mfano.' Kwenu vipo vyakula kama hivi au Sasa unanawiri hukuja ivi au unakuwa arrogant tu bila reason yoyote.Ebu tuanzie hapo kwanza.Mwisho tulia kwanza then uje ulete tangazo humu la kutafuta mchumba but weka vigezo unavyopenda Nakwambia utamsahau Huyo Na mahali samehe.Yeye Ndo ataumia maisha yake yote.Kuhusu Mtoto Endelea kuhudumia akizaliwa Pima DNA au angalia Kucha za miguu kama mnafanana.
Nimekupata
 
Ngoja kwanza nitoe wasifu wangu, mimi ni kijana wa makamo nina miaka 27 kwa sasa, nina kazi nzuri inayonilipa vizuri mbali na hapo nina biashara zangu binafsi za nyumba na viwanja (real estates) zinazoniingizia si chini ya laki 5 kwa siku namshukuru mungu pesa ya kubadili mboga na mafuta ya gari haisumbui. Pia nimebahatika kupata nafasi ya kuhudhuria gym kila siku tano za wiki hivyo mwili wangu unaonekana vyema na pia sura yangu si nzuri wala si mbaya nadhani nipo kwenye kundi la watu wa kawaida ki mtazamo wa sura. Ukija katika upande wa uanaume ki ukweli namshukuru mungu kanijalia mtarimbo wa maana na show napiga ya uhakika siyo kwamba najisifia ila huo ndo ukweli halisi, kiufupi bao la kwanza hua hata sipumziki naunganisha, (hapo kama nimeenda kavu na binti ninae muamini kiafya).Na kila binti niliyewai kushiriki nae tendo la ndoa hudhihirisha dhahiri ufundi wangu katika shughuli hiyo.
laki tano kwa siku NOTED ... okey naendelea
 
Back
Top Bottom