asante sana dada yangu kwa karipio. mimi ni daktari na ninaheshimu na kuthamini sana kazi yangu. lengo la ile comment yangu ilikuwa kutaka kujua kama huyu bwana aliyetoa huu ushauri wa vidonge anaelewa kweli anachoandika. maana hawa ndio watu wanaoshauri wenzao humu,, na watu wanafata ushauri na kudhurika. profession imeingiliwa, na inauma sana kuona wakati wengine wanajenga wengine wanajitahidi kubomoa. medical field is too broad,, and unless one is an expert then they should forever keep their comments to themselves. and,, there is what we call ''medical-legal'' implications,, unaweza kufungwa kwa kutoa publicly information either ambayo si sahihi ama haijitoshelezi na wasomaji ama watumiaji wako wakapata madhara. watanzania ni watu wa ajabu sana,, wanapenda urahisi hata kwenye mambo yanayowahusu personally and directly. hospitali haziko mbali sana siku hizi,, everyone shoulg go there for proper evaluation and work-up. ni hayo tu
Haya mimi nimeacha.
Utaweza kumshitaki Polisi wa Usalama wa Taifa wewe ? haya nenda kokote kanishitaki mimi Mzizimkavu. Labda unishitaki hapa kwa Moderator sio kituo cha Polisi hawa polisi wa vituoni wanawajuwa Polisi wa Usalama wa Taifa ni akina nani nchini hapo? chezea Usalama wa Taifa utakwenda ndani bila ya kwenda Mahakamani.
Pole sana dada yangu, Kama ulivyosema kila kitu kina sababu basi huna budi kukubaliana naloPoor me!my baby is gone,thanks kwa mlionishauri,kila kitu kinatokea kwa sababu zake,sitaacha kuihukumu nafsi yangu kwa uzembe niliofanya!hili tukio limenipa somo kubwa sana,may her/his soul rest in peace.
Hakuna mtu ambae yupo juu ya sheria mkuu, Pinda anaweza kushitakiwa kwanini polisi ishindikane!!!
The point ni kuuliza kosa lako kwenye hili janga na si kwasababu upo serikalini then usiwe liable hata kama una kosa.
l do not mean kwamba una kosa...
Hakuna mtu ambae yupo juu ya sheria mkuu, Pinda anaweza kushitakiwa kwanini polisi ishindikane!!!
The point ni kuuliza kosa lako kwenye hili janga na si kwasababu upo serikalini then usiwe liable hata kama una kosa.
l do not mean kwamba una kosa...
Poor me!my baby is gone,thanks kwa mlionishauri,kila kitu kinatokea kwa sababu zake,sitaacha kuihukumu nafsi yangu kwa uzembe niliofanya!hili tukio limenipa somo kubwa sana,may her/his soul rest in peace.
Fasta, Kamfungulie Mashtaka MziziMkavu. au MODS wampige ban hata ya miaka miwili:israel:
Asante dada yangu kwa ushauri wako mzurimie kuna watu humu ndani wananipiga vita kwa sababu ninawasaidia watu bure wengi wa watu humu ndani wanaonipiga vita ni Waganga wa kienyeji hawataki niwasaidie watu bure asante sana.Huyu dada aliyeyeandika mada hii na kumtaja MziziMkavu inabidi arudishe maneno yake au kuyaweka sawa kuwa si wewe umeeoma thread humu na sio wewe uliyeomba ushauri na kuwa una mimba na ndio ukaambiwa unywe hayo. Mzizimkavu achana nao wanaokusema hawaelewi.
Mie ni mmoja wa wanaotafuta info online kama wengi sie. Hili ni funzo kwa wengi sisi tumejifunza kuwa makini na kujua afya kama inaruhusu au la.
Asante sana Mkuu Leonard Robert Ukipata nafasi unaweza kunitembelea blog yangu kwa kupata faida nyingi tu bonyeza hapa.Mzizi MkavuWewe ni kichaa.. MZIZIMKAVU ni mtu makini.. huyo dada hakuwa makini kusoma maelezo..