nini nkwambie zaidi ya nlichokiandika mkuu, plz nambie...
i guess one of these days kuna mtu atakuja kuomba ushauri wa namna ya 'kukata gogo' hapa JF
mhalisi, cna mwanamke mwingine braza na ndo mara yangu ya kwanza mi kuduu
Imepita takribani miezi
mitatu huku tukichat kwa sms na kupigiana simu mara kwa mara tangu
tufahamiane hatimaye kubadilishana namba za simu, amekuja Tanzania kama
mfanyakazi(engineer) na yupo hapa kwa miezi tisa, baada ya hapo atakuwa
amekamilisha project yake.. Juzi huyo mdada wa Kichina alikuja chuoni
kunitembelea tuliongea vitu vingi sana, ila nilishangaa kunitamkia kuwa
ananipenda na yuko serious..naombeni msaada nimkubalie?
manyanza yeah! Coz anaonekana ananipenda sana, cjui ntafanyaje
ha ha haaa! Kongosho bhana! Kelele zake mi ndo nazijua hasa napokuwa nae faraqhaa... Kwani we umeshaonja penza la Mchina?