Jamani mchina kanambia ananipenda, ushauri wanajamvi...

Thnx alot Uki, ila wadau wananikatisha tamaa, but i lov her so much, kwan mi mchina kunipenda kuna ubaya gani? Kwa taarifa yenu jana nilishare nae kitanda kimoja na sijawahi kuona wala kufanananisha na penzi la mtanzania yeyote, wenye roho mbaya mjinyonge na wenye mawaza yakunijenga asanteni..TCHAOOO...
 
Mwambie akufungulie Account hapahapa Bongo na Uimiliki wewe mwenyewe na iwe na pesa ya kutosha. Asije akafanya uhuni na kuondoka.

aleyn, nashukuru mkuu, ila mi leo nahitaji ushauri unaongea hvyo i hope kesho utauliza jambo la msingi wadau watakujibu kama ulivyonijibu mimi, asante na mungu akujalie ucku wenye ndoto njema...g9t
 
Nadhani naweza kupigwa burn kwa sababu ya kueleza ukweli... Mimi ndo niliyetaka ushauri kuhusu mdada wa Kichina, nataka niwaambie ukweli.,
 
angalia kati ya t.a.k.o lako na la mchina la nani kubwa. km lake ni kubwa basi oa lkini kama lako kubwa mwambie anywe kwanza zile dawa zao ili awe na mahaga do uweke ndani
 
UKI, Naomba nikuulize ki2 mkuu, ila ntakupm...plz nijib au mtu yeyote mwenye ukaribu na wachina hasa wakike...plz just pm me
 
Rasib kama we mega tu atakuwa anakusaidia boom likikata
 
Last edited by a moderator:
Rasib kama we mega tu atakuwa anakusaidia boom likikata
 
Last edited by a moderator:
inaonyesha na wewe pia unampenda, nakushauri uwe nae. kina dada wa kichina wana mapenzi ya dhati, ni watu wema sana, ni wakweli, wapole na wana mapenzi ya dhati kutoka mioyoni mwao.
 
angalia kati ya t.a.k.o lako na la mchina la nani kubwa. km lake ni kubwa basi oa lkini kama lako kubwa mwambie anywe kwanza zile dawa zao ili awe na mahaga do uweke ndani

acha kusema hvyo mkuu, hyo cyo sababu ya kunifanya nmchukie mchina wangu, nambie je kuna sababu ya msingi mi kumchukia?
 
Jamani, kama hakuna aliyejaribu kuduu na mchina asijaribu maana ndoa itavunjanjika hv akiona, mi juzi wakati alikujakuja kunitembelea yaliyonikuta bora nimsahau mpenz wangu, maana cjawai kuona aiseee

Rasib
hapo sijakupata vizuri mkuu, unaweza ukaelezea vizuri zaidi?
 
mmmh, nunua 'ear plug' wana makelele kama unagonga vyuma, afu mwisho wanazimia kama stering kwenye muvi.
 
inaonyesha na wewe pia unampenda, nakushauri uwe nae. kina dada wa kichina wana mapenzi ya dhati, ni watu wema sana, ni wakweli, wapole na wana mapenzi ya dhati kutoka mioyoni mwao.

mhalisi, nashukuru mkuu, pia nimatumaini yangu ulinzi wa penzi langu utakuwa si wakutilia shaka maana anavyonipenda lol! Mungu aendelee kumjalia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom