maph
Senior Member
- Oct 16, 2012
- 177
- 50
Jamani hatuna maji yaani maji ni shida na hatuoni hata Mbuge wetu hatuwakilishi na sijuhi kama serikali inajua jinsi tunavyo hagaika na maji jamani miaka 52 ya uhuru eeeheee.
Kati ya sehemu hapa Dar es salaam zinazosumbua kwa tatizo la maji basi moja wapo ni Pugu station ni hatari .
Itakuwa ni aibu kubwa kama atakuja tena kutuongopea 2015 nitamshangaa sana, najuta sana sana kupoteza kura yangu aahaaaa.Eti saccos wakati watu hawana maji .