Jamani mbona vitu vimepanda ghafla

Mimi kila nikikukuruka nihame hii nchi naishia kutapeliwa ila ntaondoka tu.
 
hahahahah mkuu njoo kwa mabaharia tukupeleke mambere lkn huko waweza kuwa mke wa mtu
Mimi kila nikikukuruka nihame hii nchi naishia kutapeliwa ila ntaondoka tu.
 
Hahaa aisee....basi ngoja tukanunue ugali mboga itakua madege hayo kwenye bakuli
 
Yaani in balaa apa iringa nyanya3 kwa 500... Nguo ndo kabsaa hugusi...twafwaaaa
 
Kuna ukweli hapa

Plain Papers 3 ilikua Tsh. 100 ila sasa kuanzia j3 Plain Papers 2 ndo hiyo Tsh. 100

Kutoka Jalalani Stationeries
 
Hahaa aisee....basi ngoja tukanunue ugali mboga itakua madege hayo kwenye bakuli

Acha uvivu wewe, huo ugali ulionunua uliwezaje kuununua ushindwe kununua mboga, lakini sio lazima pia ule ugali na hapa ndipo inaonyesha namna ulivyoshindwa kuwa na kipaumbele.. Kuwa vegetarian tu mkuu achana na ugali huo nunua mchicha uchemche na maji ya bomba utafune shushia na ndizi mbili mbivu maji glasi mbili hapo poa kabisa tena diet ya uhakika kabisa hiyo.
 
Mimi kila nikikukuruka nihame hii nchi naishia kutapeliwa ila ntaondoka tu.

Mwanamme hakimbii matatizo bali hupambana nayo labda vinginevyo utakuwa wakike....
 
Mfuko wa 50kgs chakula cha kuku umepanda toka 40,000/- hadi 45,000/-.Halafu kuku wangu wa kienyeji nimewazoesha kuwapa chakula hawajui kudanga !
Ha ha ha!!! Wafundishe kudanga!!!!
 
Mwanamme hakimbii matatizo bali hupambana nayo labda vinginevyo utakuwa wakike....
Kweli ndio mana wanaake wengi wanaenda ulaya na uropa kutafuta maisha sisi wanaume tupambane tu hapahapa.
 
Watanzania mtembee vifua mbele we a on the LAIT TLAK. Ilani ya chama inaenda vizuri.
😳😳😳😳😳

Huku kwetu kilo ya kitimoto ilikuwa elfu 8 saizi elfu 9
 
Tunyooshe babaa maguu,watu walizoea sana kuichezea serikali na wengine kujiita mapedejeee,kanyaga hapohapo baba magu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…