Jamani mbona vitu vimepanda ghafla

acha tu vitatu tunavinunua kwa buku3 wakat zaman ilikua jero au buku daaaa
Vitu vya kugawa Bure hivi Kwa mbele... aisee fungeni Buti kamba mjichekeche Tu maana kama no ujenzi wa nchi ndio Kwanza msingi
 
Consumer ndio mjenga Nchi na ni wote kuanzia kundi la kwanza mpaka la mwisho uliotaja mkuu. Kikubwa tutambue tu jiwe kafeli na sasa amewageukia wanyonge anawanyonga kwa njia ya Bluetooth.
 
Hata cheap labour tupo kijiweni tumelala tu tunatazama jua linavyo zamaa kila ihi twao siku hakuna mchongo wala kazi ya maana God help us
Njoo kakola namba mbili ubebe cargo za mawe. Kago moja ni buku mbili. Umbali wa dakika moja tu. Kaz nakupa Mimi hapa. Kama kuna ambae anaweza hiyo kaz na yupo namba mbili sasa hiv anichek. Kama kuna boda boda anaebeba mawe kutoka kakola kwenda nyarugusu pia anicheki. Mifuko minne ni 37elfu. Sio lazma uelewe
 
Hiyo inaitwa Cost pushed inflation... Exchange rate ya USD to Tsh imebadilika mind you!
 
Mm nimeoa miaka kadhaa iliyopita.
Wapo watu wengi wasiooa na wana tumia kondomu kwa wingi,suala na kupanda bei kwa bidhaa ni la kujiuliza kwa sisi wote tuache umimi (ubinafsi) wa kuhoji na kufuatilia mambo yanayo tuhusu moja kwa moja!
 
hahaha unaamua kunitisha Dada ake.

afu nishalipia godown na maushuru yote yanayohitajika nimeuweka uko kwa muda hapa naomba bala la njaa liwakumbe tu.


hongera sana.
ila tuseme ukwel...wakusanya vyakula.wa miaka mi5 iliyopita walikua na hela sana...sio km ss..mchele haupandi kivilee...mchele mzuri unachezea 1800- '2000..hv shida ni nn
 
hongera sana.
ila tuseme ukwel...wakusanya vyakula.wa miaka mi5 iliyopita walikua na hela sana...sio km ss..mchele haupandi kivilee...mchele mzuri unachezea 1800- '2000..hv shida ni nn
Hii miaka ya jiwe kumekuwa na trend ya kufunga mipaka kutoruhusu chakula kutoka nje ya nchi. Majirani siku zote huwa wana high demand na reasonable price ambayo huwa inapelekea bei za ndani kuchangamka pia.
 
Hao kuku sio wa kienyeji tena, hao kuku wa geti kali.
Ili aitwe wa kienyeji lazima akazurule ajitafutie riziki yake mwenyewe, wewe jukumu lako kumpatia malazi tuu
Wa kienyeji bhana. Ili wakupe mazao stahiki km mayai na mbolea ya kutosha inabidi uwape huduma stahiki !
 
Maendeleo hayana chama
 
Maisha magum wewe jiunge tu na dent upate free vocha ili ela ya vocha ikusaidie kwa mambo mengine, vuna 10000 daily https://jamiiforums.com/r56SdaG1UX
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…