FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,824
- 46,944
Serikali inafikiri kubebesha wafanyabiashara mizigo mikubwa ya kodi ndio kuonhezq makusanyo, kumbe inasababisha bidhaa kupanda bei na kuleta inflation, mwisho wa siku figure za makusanyo zinaongezeka lakini thamani ya pesa imeshuka, kwahiyo walichokusanya hakina ongezeko katika thamani ila tu ni namba zinapanda. Zqmanqi TRA walikuwa wanakusanya bilioni 300 enzi za mkapa lakini ilikuwa inafanya makubwa kuliko Trillioni 1 ya leo.Huku mkate 2000 ila ipo hivi UKIJIFANYA UNAMUWEKEA MLOLONGO MWINGI WA MAKODI(TAX) PRODUCER NA RAW MATERIAL JUA KABISA HAYO MAKODI YATASHUSHWA KWA WHOLE SALE NA WHOLE SALER ATAYASHUSHA KWA RETAILER THEN RETAILER ATAYASHUSHA KWA LAST CONSUMER AMBAO NDO SISI. HUO MTIRIRIKO UNAKUJA KWA LAST CONSUMER KWA KUONGEZA BEI BIDHAA.
Huku kwetu upo. 2000 - 2200Hakuna mkate mkubwa (1kg) unaouzwa kwa 2000. Ule mdogo wa 500gm kwa sasa unauzwa 1300.
Kwenu ni wapi na huo mkate ni wa bakery gani ndugu?Huku kwetu upo. 2000 - 2200
Point ya muhimu sana.Serikali inafikiri kubebesha wafanyabiashara mizigo mikubwa ya kodi ndio kuonhezq makusanyo, kumbe inasababisha bidhaa kupanda bei na kuleta inflation, mwisho wa siku figure za makusanyo zinaongezeka lakini thamani ya pesa imeshuka, kwahiyo walichokusanya hakina ongezeko katika thamani ila tu ni namba zinapanda. Zqmanqi TRA walikuwa wanakusanya bilioni 300 enzi za mkapa lakini ilikuwa inafanya makubwa kuliko Trillioni 1 ya leo.
Malaika wataishi kama mashetani unakumbuka hili ?!Point ya mihimu sana.
Kupanda kwa bei kwa vitu kunapunguza thamani ya fedha.
Hivyo hata makusanyo yakiongezeka kwa namba (TShs) ukija kupiga hesabu zilizo inflation controlled, makusanyo hayapandi sana hivyo, au yanaweza kuwa hata yanapungua.
Na zaidi, maisha yanakosa unafuu kwa wananchi.
Na ulichoandika pumbaPumba za kuku tulikuwa tunanunua 2000 sasa hivi elfu 3000 sijui tuendako
Tatizo upande wa pili wa equation mkemia haku balance.Malaika wataishi kama mashetani unakumbuka hili ?!
Sijakariri brand. Ila mdogo ni super loafKwenu ni wapi na huo mkate ni wa bakery gani ndugu?
Na ulichoandika pumba
Kuku Ni chakula Cha anasa Ni Cha wachache wenye pesa zaoWw ulichoandika nn? Gharama za vyakula vya kuku nazo zimepanda huelewi hilo? Uchumi ukiyumba unaleta matatizo kwa kiasi kikubwa hujui hilo?
Hivi tunanunua mikate kwa uzito!?Hakuna mkate mkubwa (1kg) unaouzwa kwa 2000. Ule mdogo wa 500gm kwa sasa unauzwa 1300.
Iko mikate inauzwa Hadi kwa litaHivi tunanunua mikate kwa uzito!?
Wadau wa zile "huduma zetu pendwa" tujuzane kama kuna mabadiliko yoyote uko, maana wengne hatujapita huko siku 2-3 hiz
Cc.Ambiele Kiviele, zero iQ
aaaaah unajua bwana tunaenda shimoni mbona easy tu.Pumba za kuku tulikuwa tunanunua 2000 sasa hivi elfu 3000 sijui tuendako
Mdogo wangu umenichekesha ππππKama mwanamke anaweza kutoboa pua yake kwa kipini.
atashindwaje kutoboa moyo wako??
Aliskika dogo mmoja wa Senegal kabla hajafunga goli.