Jamani mbavu zanguuu! Uuuuuwiii!

Jamani mbavu zanguuu! Uuuuuwiii!

John mungo

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2013
Posts
1,009
Reaction score
1,030
Nilienda kijijini kwetu turiani hapo kwa ajili ya xmass. Kwenye kutembea tembea, sindo nikakutana na bibi kizeee wa miaka 70 nakuendelea, Kimepigilia jinsi mbato na kitop laivu mchana kweupeeee.
 
uliwahi kujiuliza kwa nn vyura wa kiansi wananyonyesha?bas isishangae mbuzi kazaa binadamu.digital hakuna kuzeeka mwendo mdundo Big up bibi unawakilisha. kizazi kimelaaaniwa hiki vibinti mtaani vinajiphoto picha za uchi.Wakuu wanajf km huko nako wapo naombeni muwakemee waache.
 
Ha ha ha ha niraha sana kuskiza uongo ili hal ukweli unaujua
 
Jamani nikweli kabisaaaaaa!
Mi sidanganyagi kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom