miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,821
- 48,976
Ahahahaha!
Samahani kicheko kimeniponyoka.
Ila nyie watoto mmezidi utaalamu hadi mnajiponza. Mmezoea maharage yenye magadi basi mkikuta hotelini wametia nazi mnaona sio matamu! Enzi zetu aliekupenda ndo huyo huyo basi ndo hujui mbichi wala mbovu, unakula na kijulamba vidole. Khaa!
Yuko busy na nini kama hela hana hata ya kuendeshea maisha! !!!????
Au hela una maanisha nini hapa????!!
Habari za holday wanajf! Hope mnaendelea vizuri na kazi zenu... naombeni ushauri wenu........
jamani mimi nina rafiki yangu kipenzi ambaye ananiwazisha sana kwa hali aliyo nayo maana hana furaha katika mahusuiano yake na jamaa yake ambaye wamekuwa wote kwa takribani miaka mitano na jamaa ni king'ang'anizi akitaka waachane jamaa hataki...
kama mjuavyo kila mtu anastarehe yake shoga yangu starehe yake mojawapo ni kugegedana sasa, tatizo jamaa hana mautundu kwa bed rafiki yangu kajitahidi kumfundisha jamaa hadi anamtafutia picha za X(PORNO) ili ajifunze mautundu kitandani lakini jamaa hafundishiki shoga yangu anajitahidi kumwelekeza jamaa wafanye style ambayo yeye ataridhika jamaa anakuwa mkali na huyo rafiki yangu ni mzuri kwa kweli anajiheshimu kiufupi ni (wife material) wanagombana kila mara jamaa kama haoni ndo kwanza. Sasa anapush wafunge ndoa huyo shoga yangu hana mzuka kabisa wa ndoa lakini kumwambia jamaa hawezi..... ila huyu mwanaume ni rigd habadiliki yani ni kero........
Ndugu upande wa KE wanamforce aolewe nae kwasababu jamaa anajipendekeza kwao sana sasa shoga anawaza hii ndoa atakayo funga na jamaa itakuwa na furaha kweli maana jamaa siku nyingine dude haisimami vizuri wanaweza wakaa hata miezi nane mpaka kumi hawafanya mapenzi jamaa yupo busy na wakikutana jamaa ndo kuishughulikia papuchi hajui. shoga yangu anakosa raha jamani......
Mimi binafsi nimemwambia shoga yangu aachane nae kwasababu hajaridhishwa na performance ya jamaa and the man he is too rigid afu hela yenyewe hana....angekuwa anahela kiukweli ningeshauri kitu kingine jamani...
Je wanajf mnalionaje hili naomba ushauri wenu ili niweze msaidia shoga yangu..............
hela yake ya kawaida ya kumtosheleza jamaa tu...... wakikutana jamaa anakuwa bussy na simu hana mda na demu wake kabisa .....
Ahahahaha!
Samahani kicheko kimeniponyoka.
Ila nyie watoto mmezidi utaalamu hadi mnajiponza. Mmezoea maharage yenye magadi basi mkikuta hotelini wametia nazi mnaona sio matamu! Enzi zetu aliekupenda ndo huyo huyo basi ndo hujui mbichi wala mbovu, unakula na kijulamba vidole. Khaa!
Ntasema haya
1. Mwanamme hajui mapenzi afu kakaa naye miaka 5?
2. Tafuta mwanamme akuweke busy, mapenzi ya rafiki yako yasikunyime usingizi.
jamani mjamaa afanyi kazi vizuri ..............
Ndiyo matatizo hayo ya kuliwa na kula kabla ya ndoa
Mgogoro upo kwenye pesa hapo my dada kwingine wanazuga tu!!!!!
asante sana!!!!!!Amshauri jamaa awe anafanya mazoezi na pia vyakula...chipsi kuku aache ale vyakula vya kuongeza nguvu...
Hayo ya simu yanaweza kurekebishika..
Na siku zote uwezi kupata full package mengine mnafundishana na kurekebishana mpaka kieleweke
Amshauri jamaa awe anafanya mazoezi na pia vyakula...chipsi kuku aache ale vyakula vya kuongeza nguvu...
Hayo ya simu yanaweza kurekebishika..
Na siku zote uwezi kupata full package mengine mnafundishana na kurekebishana mpaka kieleweke