miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,821
- 48,973
Habari za holday wanaJF!
Hope mnaendelea vizuri na kazi zenu... naombeni ushauri wenu........
Jamani mimi nina rafiki yangu kipenzi ambaye ananiwazisha sana kwa hali aliyo nayo maana hana furaha katika mahusuiano yake na jamaa yake ambaye wamekuwa wote kwa takribani miaka mitano na jamaa ni king'ang'anizi akitaka waachane jamaa hataki...
kama mjuavyo kila mtu anastarehe yake shoga yangu starehe yake mojawapo ni kugegedana sasa, tatizo jamaa hana mautundu kwa bed rafiki yangu kajitahidi kumfundisha jamaa hadi anamtafutia picha za X(PORNO) ili ajifunze mautundu kitandani lakini jamaa hafundishiki shoga yangu anajitahidi kumwelekeza jamaa wafanye style ambayo yeye ataridhika jamaa anakuwa mkali na huyo rafiki yangu ni mzuri kwa kweli anajiheshimu kiufupi ni (wife material) wanagombana kila mara jamaa kama haoni ndo kwanza.
Sasa anapush wafunge ndoa huyo shoga yangu hana mzuka kabisa wa ndoa lakini kumwambia jamaa hawezi..... ila huyu mwanaume ni rigid habadiliki yani ni kero........
Ndugu upande wa KE wanamforce aolewe nae kwasababu jamaa anajipendekeza kwao sana sasa shoga anawaza hii ndoa atakayo funga na jamaa itakuwa na furaha kweli maana jamaa siku nyingine dude haisimami vizuri wanaweza wakaa hata miezi nane mpaka kumi hawafanya mapenzi jamaa yupo busy na wakikutana jamaa ndo kuishughulikia papuchi hajui.
shoga yangu anakosa raha jamani......
Mimi binafsi nimemwambia shoga yangu aachane nae kwasababu hajaridhishwa na performance ya jamaa and the man he is too rigid alafu hela yenyewe hana....angekuwa anahela kiukweli ningeshauri kitu kingine jamani...
Je wanaJF mnalionaje hili naomba ushauri wenu ili niweze msaidia shoga yangu..............