pole sana mimi nina rafiki yangu mpaka jana alikuwa aavuja damu tena mabonge mabonge na anatokwa na damu baada ya siku tatu inakata alafu inarudi tena wameangaika sana mpaka jana ndo wamepata ufumbuzi kumbe ni mume wake waliye achana ndiye amemloga na amepewa dawa na wataalamu saizi nimetoka zungumza naye imekata damu
sasa hapo kuna mawili kama ametoka na mume wa mtu atakuwa amelogwa au kama amemuacha mpenzi wake na bado mwanaume anampenda uenda akawa amemchezea kama huyo rafiki yangu alivyofaniwa jaribuni kuangaika kwa wataalamu mtapata ufumbuzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.