Kojo Dowido
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 354
- 111
kumbe walimpigia kura....
Mkuu Nchimbi na Serukamba ndo walisaidia angalau tukapata 15%, wengine wote walimpendelea Mafuguuli!!
Mpango upo unaendelea nenda kahakiki kichinjio chako wameshabandika majina..... Mimi nimehakiki jana jina langu lipo.Ivi makamanda ule mpango wa kuhakiki vichinjio uli ishia wapi
hana nyota yoyote gwajima ndo anamsaidia lakini tutaomba usiku na mchana rais anaetengemea miujiza ya gwajima hautfai,
Nimeangalia "nyomi" ya watu waliohudhuria mkutano wa Lowassa huko Tabora kupitia ITV muda huu,sikuamini nilichokiona hasa ukizingatia mkoa wenyewe ni Tabora(ngome ya CCM).
Lowassa kama Mussa katika Biblia.
Mwenye picha atusaidie kuziweka hapa jukwaani.
Nimeangalia "nyomi" ya watu waliohudhuria mkutano wa Lowassa huko Tabora kupitia ITV muda huu,sikuamini nilichokiona hasa ukizingatia mkoa wenyewe ni Tabora(ngome ya CCM).
Lowassa kama Mussa katika Biblia.
Mwenye picha atusaidie kuziweka hapa jukwaani.
Lowasa yupo vizuri. sijui CCM watakimbilia wapi? Lowasa tayari ana kura yangu na ya familia yangu. Tumeekeana kiapo cha uti kwa Lowasa.
This is Lowassa time mkuu, nenda vijijini ukipata na nafasi ukaongea na vijana wa kawaida tu utapata majibu.
I like EL with all my heart. Yaani ananyota ya hatariiiiiiiiiiii maaamaee
"lowassa the great"
Hahahahaha watu wanampenda lowassa, bodaboda lowassa, vijana lowassa, eeeh eeeh lowassa, tunampenda lowassal
Sio mwaka wa Lowasa tu bali ni mwaka wa Mungu kuikomboa nchi yake nzuri kutoka kwa wezi
namsubiri uku bukoba(v) tarehe 18-09 nitatoroka kituoni pangu kupiga picha mwanzo mwisho!
Tuko Pamoja
Lowassa hazuiliki
Hawez kuwa sawa na musa wa biblia.ila bahati mbaya tuu n kwamba ana NYOTA
We will vote for Lowassa, kila anapokwenda yeye ni nyomi tu
Da!!!! Hii ni htr sn. Sasa hawa wanaotuina cc marofa watapigaje hilo goli la mkoni?
Vijijini wanampenda sana Lowassa, kuliko mijini. Kwa kweli Watanzania tumshukuru Mungu kwa kutuletea mpambanaji halisi dhidi ya umaskini. The light at the end of the tunnel
Mzee yuko vzur sana
Malofa tumeamua
Lowassa ni shidaaaaaa!Padri mzinifu kakimbia
Mkuu wapiga kura wa lowasa wako katika makundi kadhaa,
1.Wanachama wa vyama vinavyounda ukawa.
2.Wananchi wasio na vyama lakini wanaunga mkono ukawa(hawa ndio wengi)
3.Wananchi wasioipenda ccm tu kwa kushindwa kutimiza matakwa yao.
4.Wana CCM ambao wanamapenzi na Lowasa,hawa bado wako ccm lakini box la kura ni Lowasa mfano Mama mwenyenyumba yangu,siku ya Magufuri jangwani alikuwa mstari wa mbele lakini kila siku anasema atampigia Lowasa.
5.Watu ambao walikuwa hawapigi kura kwa madai ata wakipiga ccm itashinda maana wapinzani watagawana kura,mwaka huu wameiona fursa chini ya ukawa.
Mwaka pekee wa mabadiliko ya ukweli kupitia UKAWA.
Ni mwaka was mabadiliko,ccm wataisoma number
Mashetani katika ubora wenu
Ukweli watanzania wa sasa wanataka mabadiliko na wamechoshwa na mfumo wa ccm kwa sasa Wameamua hilo ndilo lililoko vichwani mwao
Huu ni mwaka wa ukombozi kwa taifa letu toka kwa mkoloni wa kijani na manjano
Malofa katika ubora wetu..watakoma oct 25
Pole sana kwa muweweseko, Lowasa ndiye rais Wa Tz
Kama ana NYOTA sisi tuna JUA
Yani hata hujielewi!! kwani hujui jua ni nyota? kama unaelewa basi lowassa ndiye nyota ambayo ni jua!!
Mbona unaruka ruk jibu swali!!lowas anamambo mawili ambayo hayakubaliki hata mbele za mungu.
1,fisadi tena la karne maana tangu enzi
2,mafya ,ugonjwa wa mwakyembe
3,gwajima maigizo,
,taifa hili ni la mungu lowasa kamwe hawezi kuongoza nchi hii,
kama unaushahidi kwanini usiende mahakamani ukamshitaki? kama hutaki kwenda kumshitaki huoni kwamba wewe ndiye FISADI?kwani lowasa ni fisadi?? Kama ndio mbona hajaukumiwa??
Nimeangalia "nyomi" ya watu waliohudhuria mkutano wa Lowassa huko Tabora kupitia ITV muda huu,sikuamini nilichokiona hasa ukizingatia mkoa wenyewe ni Tabora(ngome ya CCM).
Lowassa kama Mussa katika Biblia.
Mwenye picha atusaidie kuziweka hapa jukwaani.