kwa kuwa serikali ya ccm inaogopa kumfikisha mahakama kwa ufisadi wake,kwa kuwa serikali ya ccm inashindwa kumtibia kupitia haki yake ya uwaziri mkuu,sisi watanzania tunamtibia na kumhukumu kwa kumpa kura za ndiyo
gwajima akifa leo lowas hakuna atakaye tamani hata kumuona,
gwajima akifa leo lowas hakuna atakaye tamani hata kumuona,
hizo hizo zinatosha mkuu, Lowassa tunajua uchapakazi wake na msimamo wake hana haja ya kujieleza muda mrefu kama makomeo ambaye hajulikani sehemu yoyote zaidi ya highway alikosimamia ujenzi wa barabara mbovu.mabadili kweli ya kueleza ilani dakika tano adi kumi,kunautofauti gani na mtoto wa form one akitoa morning speech,
tena hiyo skandali ya kuuza nyumba za serikali ndiyo inazidi kumtesa magufuli.
Hata yule 'mamluki' wao dr slaa jana katika mahojiano na mtangazaji wa star tv alijikuta ulimi wake ukiteleza na kukiri kuwa huyo magufuli siyo clean 100% kwa kuwa anakabiliwa na kashfa ya kuuza nyumba za serikali kwa bei ya chee, mbaya zaidi dr akajikuta anaropoka kwa kusema kuwa alizigawa bure nyumba nyingine kwa 'mademu' zake!
mkuu tumeshachoshwa na ngonjera za ccm tunahitaji vitu tofauti.ndo maana pamoja na Lowasa kuhutubia for 3 mins bado tunajaa nyomimabadili kweli ya kueleza ilani dakika tano adi kumi,kunautofauti gani na mtoto wa form one akitoa morning speech,
hizo hizo zinatosha mkuu, lowassa tunajua uchapakazi wake na msimamo wake hana haja ya kujieleza muda mrefu kama makomeo ambaye hajulikani sehemu yoyote zaidi ya highway alikosimamia ujenzi wa barabara mbovu.
Nimeangali "nyomi" ya watu waliohudhuria mkutano wa Lowassa huko Tabora kupitia ITV muda huu,sikuamini nilichokiona hasa ukizingatia mkoa wenye ni Tabora(ngome ya CCM).
Lowassa kama Mussa katika Biblia.
Mwenye picha atusaidie kuziweka hapa jukwaani.
Unajua sisi wapumbavu na malofa ni wengi kuzidi hao was...enge km mkapa
mkuu tumeshachoshwa na ngonjera za ccm tunahitaji vitu tofauti.ndo maana pamoja na lowasa kuhutubia for 3 mins bado tunajaa nyomi
haahaaa 85%??????????
tupe methodology ya tafiti yako na sample size.
usijipe moyo kwa mambo ya uongo dada..
Lowasa unawapa shida sana.
kwa hiyo unataka kusema serikali ina matokeo mkononi mpaka sasa? Du tarehe 25/10 mmeipanga kupiga Kura za nn sasa.labda kama wewe ndo unatangaza mshindi saw lakini kama serikali ndo inatangza jiandae kupunzika kwenu,ili magufuli ampeleke lowasa na sumaye mahakamani,
hana nyota yoyote gwajima ndo anamsaidia lakini tutaomba usiku na mchana rais anaetengemea miujiza ya gwajima hautfai,
nilidhani nyomi zinaundwa na jumla ya wakereketwa wa vyama vinavyounda ukawa kumbe wote wale ni wafuasi wa el!!!
Sawa tukutane tarehe 25 oktoba.angalizo tu msije mkasema kura zimeibiwa hatutaelewana hapo.
vijiji vya wapi mkuu labda ya moshi na arusha ,nenda nyanda za juu kusini ,njoo kanda ya ziwa vijijini uone,unachekesha wewe,
mtaangaika sana kama mnataka kutaga, mara anagawa hela mara picha zinatengenezwa mara miujiza ya gwajima...mnalo hilo#whitehair whitehouse#