sema yote dada we sema tena tunaomba gwajima azidishe miuza ili na bibi zetu mimi na wewe wampe kura lowasa maana wewe na mmeo najua mtampa lowasa ila hapa upo unachokoza maada tu.
mkuu izo takwimu unazitoa kwenye kybod yako nini ,mbona lowasa amekuja kwetu ludewa ni aibu ,uliza mtu aliyeko mbea akwambie adi juzi sugu ameanda kungoa mabango ya magufuli soko la mwanjelwa,hadi sasa
magufuli ankubalika kwa asilimia 85% nchi mzima,
Kuna jamaa wa ccm amepita katibu na bango la lowassa akalisalimia shikamoo lowassa tulikuwa wote !
kwani lowasa ni fisadi?? Kama ndio mbona hajaukumiwa??
mkuu izo takwimu unazitoa kwenye kybod yako nini ,mbona lowasa amekuja kwetu ludewa ni aibu ,uliza mtu aliyeko mbea akwambie adi juzi sugu ameanda kungoa mabango ya magufuli soko la mwanjelwa,hadi sasa
magufuli ankubalika kwa asilimia 85% nchi mzima,
nyota ya wapi misukule ya gwajima ndo inamsaidia ,kipi alichonacho maana hata kuongea anazidiwa na mtoto wa form one.
ndiyo hivyo sasa anapendwa sasa tufanyaje? Wahi gengeni ukanunue malimao maana hakuna namna!nyota ya wapi misukule ya gwajima ndo inamsaidia ,kipi alichonacho maana hata kuongea anazidiwa na mtoto wa form one.
Makamba nusura avunje pambano la mpira wa miguu Kati ya stars na Super Eagles baada ya kuingiza habari za choo uwanjaniNimeangali "nyomi" ya watu waliohudhuria mkutano wa Lowassa huko Tabora kupitia ITV muda huu,sikuamini nilichokiona hasa ukizingatia mkoa wenye ni Tabora(ngome ya CCM).
Lowassa kama Mussa katika Biblia.
Mwenye picha atusaidie kuziweka hapa jukwaani.
mnazidi madudu ya gwajima?
Nabii Mussa hakuwa fisadi
lowas anamambo mawili ambayo hayakubaliki hata mbele za mungu.
1,fisadi tena la karne maana tangu enzi
2,mafya ,ugonjwa wa mwakyembe
3,gwajima maigizo,
,taifa hili ni la mungu lowasa kamwe hawezi kuongoza nchi hii,
Huyu dogo naye kabebwabebwa sn ndo hicho kichwaMakamba nusura avunje pambano la mpira wa miguu Kati ya stars na Super Eagles baada ya kuingiza habari za choo uwanjani
ukilinganisha na makufuli mwenye nyota ya chips mayai huyu jamaa muziki wake ni mnene!! Leo nilikuwa hapo uwanja wa taifa ktk game lohhh, nilichokiona sikutegemea ile atmosphere, peoplesss hijacked the stadium in a buzzing style!! Sorry makamba!!
rais anayetegemea majini kuongoza nchi kamwe siwezi kumpa kura mpeni nyie misukule yake,llakini haitasaidia,
kwa Kuwa serikali ya ccm inaogopa kumfikisha mahakama kwa ufisadi wake,kwa Kuwa serikali ya ccm inashindwa kumtibia kupitia haki yake ya uwaziri Mkuu,sisi watanzania tunamtibia na kumhukumu kwa Kumpa Kura za ndiyolowas anamambo mawili ambayo hayakubaliki hata mbele za mungu.
1,fisadi tena la karne maana tangu enzi
2,mafya ,ugonjwa wa mwakyembe
3,gwajima maigizo,
,taifa hili ni la mungu lowasa kamwe hawezi kuongoza nchi hii,
pole sana kwa muweweseko, lowasa ndiye rais wa tz
Tena hiyo skandali ya kuuza nyumba za serikali ndiyo inazidi kumtesa Magufuli.Muulize Magufuri ufisadi alioufanya kwa kuuza nyumba za serikali kwa bei cheeee
Waulize rafiki zako pesa za Escrow zilikwenda wapi? Lowassa alikuwemo?
Mtamfitini sana baba wa watu ila mwisho ndo Rais wenu maana watanzania tushafanya maamuzi nayo ni kuiondoa ccm madarakani.
Now is the time for Change
viva Lowassa
Viva Ukawa
tukutane october 25