Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,879
Njoo geto tuyapange kwanza mamiiMashostito na Masela ni kiwanja kipi kinabamba kwa leo hasa maeneo ya kinondoni. Fourways Park nimeshapachoka hata governors nimeshapachoka.
Papichulo nehii, Break-point pale napo nimepachoka.
Mbali na hizo hapo Juu waungwana wapi panabamba siku za Ijumaa