Ng'wamapalala
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 6,811
- 6,507
masopakyindi Asante kwa USHUHUDA, Haleluuuuuuuuuyaaaaa!
sasa wewe Safari_ni_Safari kwenye maelezo yako unatakiwa pia utuweke wazi kuwa pembeni mwa jengo hilo kuna biashara kama mleta mada anasema zimedorora wenyewe wakakimbia..! na je Hizo biashara zina changanya ama zimedorora pia. Mbarikiwe Sana sana
Kama ni hivo basi hamuelewani na mleta Mada, hata kichwa cha habari kinaelekeza sivoKudorora kwa biashara hakuhusiani na Kanisa moja kwa moja hata kidogo, bali ni tatizo la mwenye jengo na wapangaji. Mwenye jengo ni Alhaji kwa hivyo wapangaji lazima waendane na uhalisia huu...kuwa upangaji pale lazima ufuatane na imani ya mwenye jengo. Sasa ni mpangaji gani mwenye imani hiyo atakaye taka kufanya biashara next na Kanisa?
Kama ni hivo basi hamuelewani na mleta Mada, hata kichwa cha habari kinaelekeza sivo
Aaameeen mkuu!masopakyindi Asante kwa USHUHUDA, Haleluuuuuuuuuyaaaaa!
sasa wewe Safari_ni_Safari kwenye maelezo yako unatakiwa pia utuweke wazi kuwa pembeni mwa jengo hilo kuna biashara kama mleta mada anasema zimedorora wenyewe wakakimbia..! na je Hizo biashara zina changanya ama zimedorora pia.
Mbarikiwe Sana sana
Mkuu mambo ya imani hayana maelezo ya akili sana.Wabongo tunapenda kutafuta short cut mambo yakienda vibaya.., tunakimbilia either laana au uchawi.., tunasahau kwamba tunajiroga wenyewe na kujilaani wenyewe..
Ukiangalia hapo lazima kuna tatizo either la location, bei ya pango, au matatizo ya mpangishaji kama yote hayo yapo sawa basi ni uoga wa jamii husika kwamba hili jengo lina laana kwahio siwezi kufanya biashara hapa.., unadhani hilo jengo lingekuwa mafichoni alafu wakawepo wale dada zetu wanaotoa huduma watu wasingejazana sababu ya laana ?
kwa hiyo upatikanaji, umiliki na mwishowe ujenzi wa hilo jengo utakuwa ulifuata misingi ya haki kwa 100% (kama dini yake inavyosema/taka) na sasa anakataa aina hiyo ya wapangaji ili wasilinajisi!?Kudorora kwa biashara hakuhusiani na Kanisa moja kwa moja hata kidogo, bali ni tatizo la mwenye jengo na wapangaji. Mwenye jengo ni Alhaji kwa hivyo wapangaji lazima waendane na uhalisia huu...kuwa upangaji pale lazima ufuatane na imani ya mwenye jengo. Sasa ni mpangaji gani mwenye imani hiyo atakaye taka kufanya biashara next na Kanisa?
kwa hiyo upatikanaji, umiliki na mwishowe ujenzi wa hilo jengo utakuwa ulifuata misingi ya haki kwa 100% (kama dini yake inavyosema/taka) na sasa anakataa aina hiyo ya wapangaji ili wasilinajisi!?
Ninachoshangaa mimi ni kuwa kuna watu wamejenga kwenye maeneo ambayo sio 'posh' kama Mbezi na biashara zao zinachangamka haswa, sasa kwa nini hapo!
Mkuu mambo ya imani hayana maelezo ya akili sana.
Lakini imani si ushirikina.
Na kama wewe ni mjasiria mali hapo mahala pako wazi na nafasi ipo, wewe changamkia fursa.
Imani ni kitu kigumu sana.......mpangaji mmoja alitimuliwa kwa kuuza bia kwenye supermarket
Kumbe tumeshapata sababu..., tatizo ni mwenye nyumba na sio laana
imani ni kitu kigumu sana.......mpangaji mmoja alitimuliwa kwa kuuza bia kwenye supermarket
mkuu inategemea nataka hio sehemu kufanya biashara gani.., sio kila biashara inakubali kila mahali, ila kama wateja wangu wote ninaowategemea ni hao ambao wanaona kwamba hilo jengo na hio sehemu ni ya wizi, huoni kwamba wataacha kuja ? Ni sawa sawa ukafanye biashara ya kiti moto sehemu kama zenji au kuuza barafu kwa eskimos.., kwahio nina uhakika hapo mtu akija na product inayowafaa watu wa jamii hio na kwa bei ndogo kuliko pengine watu watasahau mambo ya laana..
Usipindishe ukweli mkuu.
Kilewo ndiye aliwapa KKKT na katika kubadili matumizi ardhi, Waziri mwenye dhamana ndiye alikigawa.
Hao waliofaidika na mgawo ni ndugu zake ,rafiki zake(wengi ni wa Arusha), shemeji yake.
HUO NDIO UKWELI.
hakutimuliwa alichezea mtaji biashara ikamshinda!
Kaka Safari_ni_Safari nadhani sasa umepata muelekeo wa mleta mada, Haikuwa rahisi yeye kuipeleka kwenye jukwaa la dini, kaimwaga hapa kwa kuwani "habari" picha na kama kawaida moderator, mada zenye mrengo huo ni aghalabu kutolewa humu JFImani ni kitu kigumu sana.......mpangaji mmoja alitimuliwa kwa kuuza bia kwenye supermarket
Kumbe tumeshapata sababu..., tatizo ni mwenye nyumba na sio laana
Mkuu ulizia zaidi na kuhama kwa yule jamaa wa Gym, naye alikuwa anauza bia?