masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,410
- 14,120
Mjengo huu mali ya Mstahiki mmoja mikoa ya kati,una kalaana ka aina fulani.
Upo pale Mbezi mkabala na kanisa la Mbezi Luth Church.
Hadithi inasema kiwanja kilichopo jengo hilo ilikuwa mali ya kanisa, ila kiliporwa na wajanja kwa kutumia mheshimiwa mmoja aliyekuwa waziri pale Ardhi.
Toka jengo lijengwe wapangaji hawakai, sasa hivi ni miaka.
View attachment 84576