Jamani, Kwanini Bibi Harusi analia!

Jamani, Kwanini Bibi Harusi analia!

mshumbue-soi

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2013
Posts
1,842
Reaction score
1,148
Wanajamvi
Umofia kwenu.
Naombeni tuelimishane ni kwanini ukimchumbia msichana wakati wa send off na wakati wa Harusi badala ya kuwapa watu tabasamu furaha analia wakati alikubali mwenyewe na akaomba tuungane naye kufurahia
Je anaogopa muhogo wa kila siku au ndo nini tena

Nawasilisha
 
anakuogopa sura yako inatisha
 
Mmh! Nshazoea kulala na nguo sa huko hata bila kyupi! Ohoho lazima niliee!! Btw- mambo mengi humfanya bi harusi kulia,wengne ni machoz y furaha hatimaye cku imefka,wengne kuachana na ndugu ulowazoea kila cku kama mama na dada zako au wadogo,n.k,n.k.
 
huenda hili lina ukweli
 
wa zamani walikuwa wanalia wanaogopa mchezo, wa siku hizi wanalia kweli? mbona walio wengi huwa wana mashamushamu sana?
 
wadada wazaman ndo walikua wanalia . Ila wa siku hz hawalii. Kwasabu wadada wa zamani wengi wao walikua wanaolewa wakiwa ni bikra, hawajozea kugegedwa kila siku, hawajamzoea sana mwanaume kwa hyo amjui tabia zake. Pia ni kutoka mazingra ya nyumbani na kuaza maisha mapya. Lakini wa siku hizi hzo tabia zao nadhani mnazijua
 
kipi wasichokijua mpaka waogope huo muhogo????? nadhan huwa hawaamini kama kweli nayeye kaolewa basi
 
Ukiona hivyo ujue alikuwa haamini kama atapata mume...
 
Wengine wanawalilia wapenzi wao wanaowapenda ila hawakubahatika kuolewa nao, hofu ya kutoonana nao tena.
 
Teh teh teh teh we jamaa bnaa, hivi unadhani mboo nzuri.? Lazima alie mana kiwaza kile k.i.t.o.m.b.o alichokua anakipata pindi muko wachumba,tena kwa kuibaiba inakuaje sasa wakati akishafunga ndoa mana hakuna speed governer... Ni mwendo wa kukaliwa juu ya kiuno na kyupi unaweka kwenye kambaaaa... Mboo inatisha mkuu ohhh..
 
Wengine wanawakumbushiwa ndugu zao waliokufa pale kwenye cheers pale
Nimeona sana kwenye harusi zetu zakinyakyusa,,
Laziima watapeana kombato mda wa cheers nakunongonezwa!!.mweee marehemu mama ako angefurahii!!
Utaacha kulia kwa mwendo uo
 
Teh teh teh teh we jamaa bnaa, hivi unadhani mboo nzuri.? Lazima alie mana kiwaza kile k.i.t.o.m.b.o alichokua anakipata pindi muko wachumba,tena kwa kuibaiba inakuaje sasa wakati akishafunga ndoa mana hakuna speed governer... Ni mwendo wa kukaliwa juu ya kiuno na kyupi unaweka kwenye kambaaaa... Mboo inatisha mkuu ohhh..

ahahaha, nahisi ni kweli
 
wa zamani walikuwa wanalia wanaogopa mchezo, wa siku hizi wanalia kweli? mbona walio wengi huwa wana mashamushamu sana?
ha ha.. tena wanacheza na kwaito..lol, ni zuga tu
 
Analia kwasababu haamini kama kweli siku ndio hiyo imefika, pia analia kwasababu haamini kama mwanaume aliyekuwa ana ahadi kibao kwake kweli zitatimia zote au ilikuwa janja yake tuu? Analia maana kwenu ni kwenu tuu, kwa mume always majanga!
 
Anafurahia kukeshea mtarimbo.....sio kila machoz yana maanisha huzuni!!!!!
 
Back
Top Bottom