Jamani, Kwanini Bibi Harusi analia!

Jamani, Kwanini Bibi Harusi analia!

nina siku nyingi sijaona bibi harusi amelia
 
Hivi bado kuna akina dada wanaolia siku ya send off?? sijaona kitambo sana ndio maana nashangaa!
 
Wanajamvi
Umofia kwenu.
Naombeni tuelimishane ni kwanini ukimchumbia msichana wakati wa send off na wakati wa Harusi badala ya kuwapa watu tabasamu furaha analia wakati alikubali mwenyewe na akaomba tuungane naye kufurahia
Je anaogopa muhogo wa kila siku au ndo nini tena

Nawasilisha

Ukifikiria kuachana na nyumbani kwenu na kwenda kuishi kwa watu tena hujui kukoje huwezi ukawa na furaha ata kidogo
 
wanaume mnashangaza inakuwaje akili yote mnaielekeza kwenye ngono tu mambo ya kulia ni mengi sana wakubwa
 
Back
Top Bottom