Jamani, kwani lazima?

Duh!kali ya mwaka hii.daudi1 ulihisia ukweli kua mtoto anaeza asiwe wa Mozie.mtoto mwarabuu.haya tusubiri kisa kinachofwata.maana bado kuna loose ends kibao.
Umeona eeee! maana alikuwa anajishaua sana
 
duuuuuuuuuuuuuuuh wadaku wengi........., nimenogewa nikajifanya namsimulia jamaa hapa ofisin, kumbe naye yupo bana...,
Hahahahahahahahah kwa hiyo mkawa mnasimulianaa hahaha!
 
Hahahahah atakuwa alipiga maana joto likipanda si mchezo
 
Umeona eeee! maana alikuwa anajishaua sana

Yaaaani..she was irritating kwa kweli...bora ata kalivoumbuka na product yake ya kiarabu.tehe teh
Na yeye akapewe makavu tuu huko.kajue dunia inaenda wapi.
 
Yaaaani..she was irritating kwa kweli...bora ata kalivoumbuka na product yake ya kiarabu.tehe teh Na yeye akapewe makavu tuu huko.kajue dunia inaenda wapi.
km ni kwelikafotoa katot ka Kiarabu huyu Mozie si Dume la mbegu bora nayeye ajielewe
hapa patamu
 
km ni kwelikafotoa katot ka Kiarabu huyu Mozie si Dume la mbegu bora nayeye ajielewe
hapa patamu

Alishatuliaga longi.sema bi mdash paulina ndo alimchokonoa akajikuta anaangukia kwa housegal.lasivyo angekua ashatemana na mambo ya kutafuta mtoto.
They say tit for tat is a fair game.
 
Alishatuliaga longi.sema bi mdash paulina ndo alimchokonoa akajikuta anaangukia kwa housegal.lasivyo angekua ashatemana na mambo ya kutafuta mtoto.
They say tit for tat is a fair game.
nimekuelewa
hivi hayo MAKAVU ya kitoto cha kiarabu inaendelea lini tena?
mpaka Ijumaa ya kesho
du hii kali ya kusubiria Shigongo
 
nimekuelewa
hivi hayo MAKAVU ya kitoto cha kiarabu inaendelea lini tena?
mpaka Ijumaa ya kesho
du hii kali ya kusubiria Shigongo

Hahha.hope haujamisunderstand hiyo mambo ya kupewa makavu.
Story ni kesho ndio,ila inaweza kuchelewa vile vile.
Stay tuned
 
“Halafu hivi Masawe una mke wewe?” aliuliza Paulina…
Dah! Haya maswali mengine bhana ni hadi uwe mfalme njozi otherwise unaweza kosa mzigo hivi hivi!! Hivi default answer hapo sio kwamba "sina mke?" au?
 
Daudi1,
You are a good story teller. Katika episode-6 wakati baba Riziki anatafakari kwanini Paulina alimpa majibu mabaya, -- yeye mwenyewe baba Riziki alikumbuka kwamba alitumia kinga wakati wa kufanya mapenzi, kwa hiyo akaondoa wasiwasi wa ukimwi!! Sasa katika episode zilizofuata, baba Riziki alionyesha kuwa na uhakika asilimia 100 kwamba mimba ni yake!!! Hapa jaribu kurekebisha kidogo ili story iendane na ukweli wa mambo. Kama baba riziki alitumia kinga, haiwezekani awe na uhakika asilimia 100 kwamba mimba ni yake. Labda ongeza maneno pale kwamba ..... Alitumia kinga lakini mpambano ulikuwa mkali kinga ikapasuka........ Kwa hiyo hofu ya ukimwi pia ilimsumbua......

Vinginevyo, you are a good story teller. Well done.
 
Thats not his call to make coz yeye anatusaidia watu wa hum tunaopenda story kuipata kiurahis kuliko kununua magazeti.what he is doin is just SHARING.
Otherwise somebody rose ndauka i think, is the one responsible for dat.(kurekebisha)
 
Asante Sonnita kwa kunielewesha.
 
Thats not his call to make coz yeye anatusaidia watu wa hum tunaopenda story kuipata kiurahis kuliko kununua magazeti.what he is doin is just SHARING.
Otherwise somebody rose ndauka i think, is the one responsible for dat.(kurekebisha)
Nimejikuta nakupenda bureee
 
Dah! Haya maswali mengine bhana ni hadi uwe mfalme njozi otherwise unaweza kosa mzigo hivi hivi!! Hivi default answer hapo sio kwamba "sina mke?" au?
Maswali ya mtego hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…