jamani kwa wanaojua horticulture

Kozi ya mbogamboga na matunda!Usihofu mkuu soko lao la ajira ni sawa na kozi nyingine za kilimo.Hivyo kazi za maafisa ugani kilimo,utafiti kilimo na ututor katika vyuo vya kilimo na hata ualimu wa shule za sekondari somo la kilimo unaqualify. Pia unaweza kujiajiri kwa biashara ya maua na utunzaji/utengenezaji bustani kwenye mahoteli au nyumba za watu.Akili kumkichwa tu mkuu!
 
Hyo kozi uliiomba kwa kupenda au ni ili tu upate mkopo mdau?
 
ni mkopo na pia nilijaribu kufikiria deep kwa nn serikali itoe mia kwenye hiyo koz bac nikaja na jibu kwamba itakuwa na market mpaka ikapewa mia dat was my suggestion
 
sawa mkuu kwa jibu lako vp kuhusu food science and technology?


Hata food sciences anafanyakazi kama mgani,mtafiti au tutor wa kilimo lakini wana added advantage ya kuajiliwa kwenye viwanda vinavyotengeneza vinywaji na vyakula.Pia wanaajiriwa sana na TFDA na TBS.
 
co hivyo kk nilijua nilichojaza but nilijkua nataka kujua khs future yake lkn pia hiyo priority ilinipa moyo kwa nn koz nyingine zcpewe kama co dil
 
Back
Top Bottom