relis
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 3,188
- 4,763
Sijakugombanisha mkuu ila kwa shida ya dogo kumsaidia ni maombi,nakumbuka niliwahi kuwa na babu yangu aliugua sana mpaka vidonda kitandani tukaona anateseka sana,tulichokifanya tukaita mashekhe kwa maombi kwa Muumba tena kwa ombi "Ewe Mwenyezi Mungu kiumbe wako anapata mateso kutokana na maradhi,kama umemkadilia umri mwingi basi mponye lkn maradhi haya ndio sababu ya kuondoka kwake basi mchukue" ilichukua masaa tu usiku akaondoka,kwahiyo itokeapo mtihani kamaHuyo kijana pumzi anayovuta kila Siku ni mateso, "every breath he takes its torture" kwake. kwa vile wewe una uzima wa kutosha unaweza usione mantiki ya yeye kuachia alichong'ang'ania. Maumivu makali ya jino yanayosabisha usiku mtu asilale yanapoaga na kurejesha amani baada ya jino kung'olewa hapo ndio utajua kuna wakati inabidi uachane baadhi ya vitu maishani ili upate amani na furaha. Dogo kwa sasa amani yake ni kuachia mwili uzikwe ili yeye apate Peace vinginevyo excruciating and nagging pain zitamtesa sana na kifo kiko pale pale kwa aina ya ugonjwa wake.
Baba yetu Mungu tuachane nae maana hatuwezi kumuelewa kwa akili zetu hizi za kawaida na ninaomba usinigombanishe nae. Teh teh teh!
Tafadhali sana.
wa Rajab kumuombea uzima tu lkn pia shida aipatayo ni mtihani kwake na kwetu tulip na uzima,uzima tulionao si kitu tena Mungu akiamua kukuonesha haichukui masaa ndipo utambue uwepo wake na wanadamu ukishashiba kande na balimi juu basi maneno yanakutoka hujui mwisho wako wala kizazi chako kitaishia wapi anaweza asikutandike wewe ila akapiga familia na toba yake ukaileta huku si kwamba anakuonea mtoto wako labda Mdogo sana ila kukuonesha ukuu na nguvu zake na utambue hachagui wa kumpa iwe mtoto au mkubwa kwani wote ni wake.