Jamani kwa wale mlioona post za huyu dogo mitandaoni hebu fanyeni kitu?

No no no I do understand what you meant!! Uko very clear as if we malaika Gabriel. Ngoja nikusaidie kidogo...angalia post yangu ni ya ngapi, then mi sio mtu wa mitandao natumia jf tu, and lastly niliuliza basing on the pics zilizowekwa hapo. Nilikosea kuuliza? Wakati mwingine msiwe mnahukukumu as if nyie ni watakatifu...ka hujaelewa muulize mtu alimaanisha nini. Mbn wenye matatizo wapo wengi mitaani? By the way nakukaribisha tarehe 24/12 tutakuwa na ziara ya kutembelea wagonjwa, you may DM me your contacts. Goodnight.
You quote me twisted , sijakuhukumu bali nimekukumbusha kuhusu Karma.

Have a good night too.
 
No no no I do understand what you meant!! Uko very clear as if we malaika Gabriel. Ngoja nikusaidie kidogo...angalia post yangu ni ya ngapi, then mi sio mtu wa mitandao natumia jf tu, and lastly niliuliza basing on the pics zilizowekwa hapo. Nilikosea kuuliza? Wakati mwingine msiwe mnahukukumu as if nyie ni watakatifu...ka hujaelewa muulize mtu alimaanisha nini. Mbn wenye matatizo wapo wengi mitaani? By the way nakukaribisha tarehe 24/12 tutakuwa na ziara ya kutembelea wagonjwa, you may DM me your contacts. Goodnight.

Seriously!!! all those infos, thanx for the invitation tho i'm working on hospital i see patients every single minute.

Easy, don spoil your night over my lines, just have a peaceful night.
 
Seriously!!! all those infos, thanx for the invitation tho i'm working on hospital i see patients every single minute.

Easy, don spoil your night over my lines, just have a peaceful night.
Umeshaniharibia siku, uiharibu mara ngapi? Anyways.
 
Sio uelewa wa kipekee wala roho Ngumu Boss bali ni common sense pekee, kufikiri kwa akili ya kawaida tu. We live to die, kwanini tuogope sasa kifo? Hela sio msaada kwa dogo bali anatakiwa apate psychotherapist amtengenezee strong mind to face the reality of his destiny more peacefully.
Wengi wetu ukwel hatuupendi
So usibishane mkuu cha msingi kuwa mpole

Kansa ya mifupa nasikia haupon ata iweje

Kuna mzee wangu fulan aliumwa balaa mpak ikafikia ndugu kusema bora apumzike kuliko mateso na fedheha anayopitia

MUNGU TUSAMEHE DHAMBI ZETU,AMINA
 
Kama unaamini Mwenyez Mungu atamrejeshea afya yake kama zamani type Amen😭😭
 
Kwenye maisha yangu nikifikia hali ya mateso kama haya simsumbui mtu yeyote kwa michango wala nini.. Nakunywa zangu sumu najifia kwa amani kabisa.
Hadi amefikia hali hii huyu dogo anaogopa kufa wakati ni walking dead tayari.
Ugonjwa hauwezi kuniadhiri hivi, nitakufa na utu wangu na sio kuadhirishwa hivi na ugonjwa. Siwezi.
Hakuna kisichowezekana kwa MUNGU. Anaweza kutenda maajabu tukashangaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom