jamani! Kupenda ni Ugonjwa hatari sana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jamani! Kupenda ni Ugonjwa hatari sana!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by SHIEKA, Sep 11, 2012.

 1. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,131
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  How are you al chitchatters?
  Kuna thread za mapenzi nimezifuatilia hapa chitchat kwa muda sasa, na zimenithibitishia kwamba mtu akipenda, halafu akakataliwa, anachanganyikiwa na kutia huruma. Hivi karibuni, mwanachitchat mmoja, wakati ndio sasa aliufungua moyo wake kwa dada mmoja bomba sana wa rock city aitwaye charminglady. Huyu dada wala hakuuona moyo wa wakati ndio sasa.Jamaa kaendelea kuteremsha mistari weeeee lakini wapi. Dada wa rock city sijui aliona mistari ya w.n.s ni bughudha au nini,akaaga kwamba hataonekana tena c.c. Baada ya kuaga akatokea mtu mmoja aliyekuwa na jina la mtoto six akasema amempata charminglady na anakwenda kwao kujitambulisha. Haikuchukua muda,mara wawili hawa wakajitokeza kwamba wao ni kitu kimoja, na mwanaume akabadili jina na kujiita @C6. Hebu fikiria wewe, umempenda kwa dhati mwanamke halafu unasikia ameolewa. utajisikiaje? Ndivyo alivyojisikia wakati ndio sasa ambaye alileta hadithi kwamba aliyemwoa CL ni houseboy wake na anatafutwa. Mume wa CL alipinga sana tuhuma hizo kwa kusema kwamba kihoro cha mapenzi ndficho kinachomsumbua w.n.s. Naye w.n.s. ameendelea kulalamika sana na kumwomba C.L. aende kwake akamtulize baada kufunguliwa kwenye Ban. Wapi bwana, ni CL na C6, C6 na CL.
  Wakati ndio sasa kama vile kachanganyikiwa! Ukimshauri kuhusu kumsahau C.L. anakuitikia kisha anakuambia:"Ukikutana na Charminglady mwambie nampenda sana."
  Haya Charminglady. Nimejaribu kuzungumza na w.n.s. na anasema hiviiii:Anakupenda sana. C6 naomba usujisikie vibaya!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wewe ni mbea na mchonganishi halafu pia ni mfufua machungu.
   
 3. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  wewe ni mwingoni mwa vikwazo,na watu kama wewe ni hatari sana ktk kipindi changu hiki kigumu,lakini pamoja na uhatari wako kwangu,ukimuona CL mwambie nampenda,mapenz yanataka kunitoa roho
   
 4. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nashukuru ndugu kwa kuweza kugundua uchungu nilionao moyoni japo kwa 0.5% lakin pia nashukuru kwa kufikisha ujumbe,...ukimuona CL mkumbushe tena kwamba nampenda
   
 5. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,857
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  plz plz, mwenzenu nimebeba familia ya my lvly huz @C6. sitaki kusababishiwa miscarrage jamani. BADILI TABIA shostito, vile viembe vichanga ulivonletea juz vilikuwa vitamujeee,hebu nletee mwenzio hapa kijacho anansumbua. . .
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Kingmairo

  Kingmairo JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 4,977
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Aisee kumbe.........
   
 7. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  kaogee mmavimavi utoe hilo pendo la kasi hivi, khaaaaaa!
   
 8. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ninaposema nakupenda,namaanisha katika hali yoyote uliyonayo,iwe ni mjamzito,uwe na ndoa,uwe vyovyote vile,mi bado nakupenda,na ntakupenda milele
   
 9. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  cacico hata wewe?...yote tisa wakati unamwambia hayo,mwambie pia kuwa nakupenda
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #10
  Sep 11, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,131
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Mimi ni miongoni mwa vikwazo vya wewe kumpata Charminglady? Ulinituma kwenda kumtongoza nikashindwa? Kweli wakati ndio sasa unaanza kuchanganyikiwa! Nakushauri hivi: tafuta namna ya kumsahau huyu dada la sivyo utaanza kuokota makopo!
  Na nikimwona CL simwambii chochote!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #11
  Sep 11, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Hayo maneno akikuwa anamwambia philipo kidwanga na sio wewe,cheki kwa makini
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #12
  Sep 11, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,131
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Phillipo kidwanga,Kumwita mwanaume mbea ni tusi kubwa sana. Yote niliyosema wayafahamu. ulichotakiwa kufanya ni kuielewa hiyo hali halafu ujaribu kumsaidia mhusika anayesononeka, sio kuchochea kwamba nimefufua machungu na uchonganishi. Mhusika anahitaji msaada mkubwa!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #13
  Sep 11, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,131
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Alaa kumbe! Asante Baba V kunielekeza. Halafu wakati ndio sasa, samahani kwa kukumisquote!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #14
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  aise samahani ya dhati kabisa kutoka moyoni,nilichokosea ni kutokuweka neno''joke'' kwa mbele.nisamehe mkuu.
   
 15. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #15
  Sep 11, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,131
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Kwako Philipo, nashukuru kwa kauli yako hii ya kiungwana ambayo ni nadra sana kuisikia hapaJF:"aise samahani ya dhati kabisa kutoka moyoni,nilichokosea ni kutokuweka neno''joke'' kwa mbele.nisamehe mkuu".
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #16
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ha,ha,ha,ha,..... Leo umenivunja mbavu,kwa mara ya kwanza tangu nitoke ban ndio nacheka,dah.....mi nimewambia hili la kwangu limeshakua janga la cc emu angalia mnavyo changanyana na kugombana kisa tu cl kanikataa,jamani mnisaidie cl anikubali kwakua naona madhara makubwa kutokea.kwakwel safari yangu hii ina misukosuko ya kila aina
   
 17. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #17
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,857
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  hahahaa my swtlo, ngoja nimpende cku upendo ukiisha ntaja juta. . .
   
 18. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #18
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  bas mwambie kuwa nampenda si umeona kama sina kosa jaman?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #19
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ...mmmwaaaaa!!
   
Loading...