watu8 unaakili sana. hebu rudisha ile avatar yako ya mwanzoni kabla ya hii?Umetoa mahari tayari?...kama jibu ni ndio then piga chini harusi andaa sherehe kama ya Kipaimara, Komunyo au Ubatizo(kama wewe ni mkristo utaelewa hizo sherehe jinsi zinavyokuwa)...
Au, kamata mbuzi kadhaa pale Vingunguti, Ongezea na kilo kadhaa za nyama...fanya kitu kinaitwa Cook-out in your hood backyard, hakikisha wakwe wanatia timu
Kwani kwenda kanisani na kufunga ndoa kuna garama gani? Chukua taxi au bajaji fasta, ukitoka hapo unapita facebook takeaway pale kinondoni mnapiga chipsi kuku mnaenda kutimiza ndoa home kwa tendo la ndoa! Complicationz za nini?
Hii michango ya harusi sometimes inakera sana. Hapa ninazo kadi sita na nyingine hata wanaooana siwafahamu, sasa jamaa wanavyodai utafikiri nimekopa.
toa kadi za mchamgo kwa member wa jf kama hao ndugu zako wanakuzingua! maana ndo walikushauri uoe!
Weka namba ya mpesa hapa tukuwezeshe, kwani ni nini bana!
(weka picha yako kwanza, usijekuwa mume wangu afu unataka kunizungula. Machale kun'desa)
Hahahahahaha
doubt any get many!
Wandugu suala la kuoa sio mchezo maana hii ni practical experience naitoa , kuna watu sasa hivi hawapokei simu zangu kisa mchango wa harusi jamani mhm. Nishaurini jamani