Wana ndugu kuna wifi yangu jamani anavuta sigara...alikuwa akiishi london sasa sijui ni kaugonjwa cha kutokea nje ama ndio maisha...naombeni msaada wana ndugu na jinsi gani ya kumsaidia mtu kama huyu....
Kheeee heeee heeeeh!Kuna madhara kwa mtu yeyote kuvuta sigara, si lazima mwanamke.
Ila kwangu mimi mwanamke anayevuta sigara is such a turn off, hata mwanamme anayevuta sigara kukaa naye karibu nakuwa naona kama nataka kutapika kutokana na harufu ya moshi wa sigara. Cancer tupu!
Wana ndugu kuna wifi yangu jamani anavuta sigara...alikuwa akiishi london sasa sijui ni kaugonjwa cha kutokea nje ama ndio maisha...naombeni msaada wana ndugu na jinsi gani ya kumsaidia mtu kama huyu....
Wana ndugu kuna wifi yangu jamani anavuta sigara...alikuwa akiishi london sasa sijui ni kaugonjwa cha kutokea nje ama ndio maisha...naombeni msaada wana ndugu na jinsi gani ya kumsaidia mtu kama huyu....
Kuna madhara kwa mtu yeyote kuvuta sigara, si lazima mwanamke.