Jamani kumbe humu muna visu vikali hatari.

Shida na raha

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
3,774
3,460
Habari zenu wakuu..niende moja kwa moja kwenye mada.

Kuna watu humu wanakua wanaponda sana wadada wa jf kwamba hamna kitu sijui wengi umri umeenda na maneno mengi yasiyo ya kweli.
Lakini kwa macho yangu nimebahatika kupata marafiki kama wanne wa kike aiseee ni hatari.

Ubaya hatukuanzisha mada za mapenzi hadi leo lakini kwakweli sifa zao nawapa. Utafikiri wametoka leo kwenye yai la mbuni.
Hongereni sana nyinyi marafiki zangu kwa kunifanya nianzishe mada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Beauty is subjective, pia kumbuka hilo...

This goes both ways. So hata wewe unaowaona visu, kuna wengine watawaona wakawaida. Just saying!
 
Jf ina member wengi tu tena warembo na watanashati kuna dada mmoja mrembo tulikaa siti moja mwendo kasi kitambulisho chake kilionesha ni mtu wa t r a .nilikuja kujua anatumia jf wakati anacoment.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom