Jamani naombeni japo mnipe ka elimu kidogo kuhusiana na bajeti ili niweze kusavaivu katika sikukuu hizi zijazo za mwezi wa Desemba. Kamshahara kenyewe ni TGS.D na kabla ya tarehe 20 Desemba kuna mambo yafuatayo natakiwa nikamilishe.
1. Kuna kadi sita za harusi.............kiwango kwa kuwa nipo single kila moja elfu 20.
2. Kuna kadi ya mchango wa birthday ya mtoto wa mwenye nyumba mwisho tarehe 10 Desemba.
3. Kuna fomu ya mchango wa ujenzi wa ofisi ya CCM............hii nimepewa na bosi wangu, inabidi nichangie ili kuongeza imani mbele ya bosi, nisije nikakosa safari za kiofisi.
4. Kadi mbili za send-off.
Hapo ili kukamilisha hayo mambo yote hapo kamshahara kote kameisha.............wenye uzoefu huwa mnasavaivu vipi katika hali kama hii??
Pata uzoefu wa kazi kwa miaka kadhaa, then tafuta kazi inayokufaa. TGS D kwa serikalini ni mshahara wa kuanzia kwa mwajiriwa. Fani ziko nying kaka, kuna makampuni mengi yanahitaji damu changa kama yako katika utendaji kazi (sector ya banking, makampuni ya simu, mashirika mbalimbali).........achana na serikalini, after all huwezi kujifunza kazi ukiwa serikalini, watu wamekalia majungu na hawataki kuachia viti. Serikalini utaingia baada ya kupata uzoefu katika sector binafsi au mashirika mengine.....
Hayo ni maoni yangu kwako
Hii mbinu nzuri sana.......hasa hiyo ya kuipiga chini michango ya ccm, nimeipenda!!!1) tema harusi zote
2)mwombe mwenye nyumba akukope elfu tano au kumi mwambie umepata matatizo utamrudishia tu, automatically wazo la mchango toka kwako litakufa!
3)kesho asubuhi kumbuka kubeba kadi yako ya CHADEMA, wakati unaenda kunywa chai hakikisha unaiacha mezani, unakua ka umeisahau flani hivi, hakikisha unatumia kila njia hadi bosi wako aione na ajue kuwa ni yako--automatically atakuwa keshakufuta katika hesabu za wataotoa mchango
Asante sana Ejogo........Jamaa anataka jinsi ya kusavaivu mwezi huu wa 12, sasa akiacha kazi mwezi atakuwa hajasovu hayo mambo aliyoyaainisha, hilo la kuacha kazi nadhani lije baadae baada ya kumaliza matatizo yake ya mwezi huu.
Mimi nakushauri uombe mkopo wa sikukuu ya xmass kama hapo kwenu mna utamaduni wa kupewa mikopo vipindi vya sikukuu. Then angalia priority ya hiyo michango yako. Hiyo ya harusi siyo uchangie kiasi chote, unaweza wapa book tano tano, kwani si lazima uende ukaudhurie.
All the best!
jamani naombeni japo mnipe ka elimu kidogo kuhusiana na bajeti ili niweze kusavaivu katika sikukuu hizi zijazo za mwezi wa desemba. Kamshahara kenyewe ni tgs.d na kabla ya tarehe 20 desemba kuna mambo yafuatayo natakiwa nikamilishe.
1. Kuna kadi sita za harusi.............kiwango kwa kuwa nipo single kila moja elfu 20.
2. Kuna kadi ya mchango wa birthday ya mtoto wa mwenye nyumba mwisho tarehe 10 desemba.
3. Kuna fomu ya mchango wa ujenzi wa ofisi ya ccm............hii nimepewa na bosi wangu, inabidi nichangie ili kuongeza imani mbele ya bosi, nisije nikakosa safari za kiofisi.
4. Kadi mbili za send-off.
Hapo ili kukamilisha hayo mambo yote hapo kamshahara kote kameisha.............wenye uzoefu huwa mnasavaivu vipi katika hali kama hii??
Watumishi wote serikalini wezi,wanaishi kwa rushwa,visafari vya uongo na kweli,tender hewa,allowance za kazi hewa za masaa 1 inaandikwa 4
duh wewe mjanja sana , ndo mana kwny thread yako ya mtoto chatala umekataa nisikuzalishe mnyarwandaDuh! Mchango wa birthday upotezee. Nenda kwa bosi wako kwa lengo la kuomba ushauri kama ulivyokuja hapa, mwambie kama vipi akukopeshe.
Kama hiyo haifai tafuta ugonjwa ulazwe hospital. Watu watakuwa wanakuletea hela za pole. Make sure hautok hosp hadi harusi, birthday na huo mchango wa sisim ushapita.
mmmh,jamani idea nyengine zinachekesha,ulazwe hospitali ku avoid michango mmmhDuh! Mchango wa birthday upotezee. Nenda kwa bosi wako kwa lengo la kuomba ushauri kama ulivyokuja hapa, mwambie kama vipi akukopeshe.
Kama hiyo haifai tafuta ugonjwa ulazwe hospital. Watu watakuwa wanakuletea hela za pole. Make sure hautok hosp hadi harusi, birthday na huo mchango wa sisim ushapita.
Duh! Mchango wa birthday upotezee. Nenda kwa bosi wako kwa lengo la kuomba ushauri kama ulivyokuja hapa, mwambie kama vipi akukopeshe.
Kama hiyo haifai tafuta ugonjwa ulazwe hospital. Watu watakuwa wanakuletea hela za pole. Make sure hautok hosp hadi harusi, birthday na huo mchango wa sisim ushapita.
una mataaizo sana ndugu yangu, hapo hujamshauri, bora mimi niyekaa kimyaasi ujifanye mgonjwa halafu uombe likizo uende zako kijijini!! Ila kama hujaoa waweza rudi na ka binti ka darasa la saba huko!!!!! Wakikukabidhi hako kalete kwangu kawe hg
Huu wa kuiendeleza JF upo kwenye bajeti.......tatizo ni hii ya harusi, birthday, send-off na huo wa kuwachangia CCM.Umesahau moja, mchango kwa ajili ya kuiendeleza jf. Kazi ipo mkuu Mchango wa mwenye nyumba piga chini, kuhusu sisiemu no koment, harusi hizi siku kawaida harusi si lazima manake mambo ni mengi, send off ni kama nilivyoeleza kwa harusi!