xaxa NDO NINI? HALAFU UMEIJUAJE JF? UZA HYO SIMU UPANDE TRENI HADI TABORA PALE UPANDE TRENI HADI MPANDA THEN DAKA SUMRY HAD S/WANGA
Ukitoka Sumbawanga ulikuwa unakuja Dar kwa nani?
Umekujaje?
Una fans katika fani ipi?
Hii kali.
unazingua sasa!! Dogo hapo mjini pagumu we rudi sumbawanga karine asali ndo upeleke tena hapo town hope utatoka tu.acheni iyo tabia sumbawanga ni mji mzuri tu njie mnajivisha umusa fimbo zenu kamwe hazita geuka nyoka