Jamani huyu mtangazaji nampenda balaa

Jamani huyu mtangazaji nampenda balaa

pesa ipo ila siunajua tena mapenzi ya pesa.....ok nipe namba yako ya M PESA nikurushi jamani.. miss chagga
 
Last edited by a moderator:
We differ .Grace kagame ni mrembo ?
Fuatilia tu mkuu kule nilikojibia hii habari utaelewa tu! pamoja na kwamba kichwa chako huwa kigumu kuelewa naamini ukisoma tena pale nilipomjibia yule ndugu utaelewa!! Maana mimi sikumaanisha unavyotaka kunilazimishia!!
 
ahsante sana mkuu wangu niombee hata asikie kilio changu
 
Mi jackline silemu,akiwepo saa 2:00 ITV,lazima hiyo habari niiangalie jwa umakini mkubwa!

upo kama mimi... yule mtoto huwa ananikosha sana... kuna siku nilikutana nae maeneo ya GOLANI ubungo nikatamani nimsimamishe... bahati mbaya nilikuwa kwenye bodaboda mkuu dahh..
 
mme wake nipo hapa dogo ntafanya kama yaliyo mkuta yule wa ITV. ni kuruta bunduki naijua vizuri.
 
we bila shaka unatoka kilimanjaro kule ambapo wanaji-shoot bastola kwa vitu vya watu.....acha hizo yeye ndo anatakiwa kuniambia ana mtu....
 
Tumepokea promo yako ya kumboost hapa kazini,tutalifanyia kazi tangazo hili na promo yako kama inakidhi vigezo na Elim yake.
Uongozi:Kalahari Media
tafadhalini naombeni radhi kama nitakua nimemkwaza yeye au kwa mwingine yeyote yule sikua na nia yoyote mbaya .a'm very sorry kwa dada yangu huyo.naangalia namna ya kuufuta uzi huu ila unanishinda...
 
Back
Top Bottom