Jamani huyu Mama Ntilie hatari kwa afya yangu

Jamani huyu Mama Ntilie hatari kwa afya yangu

"Chapati 3 na Supu mbili"

Hii sentensi inatosha kabisa kujua kua wewe ni mtu wa aina gani,

Eti utajishusha hadhi! umejuaje kua hadhi yako ipo juu kuliko huyo Mama lishe? umetumia criteria gani kupima hilo?
Mkuu kwani chapati tatu na supu mbili ndio kigezo cha hadhi yangu??
 
Aiseee nimecheka sana kwa ili jibu.
Jamaa ameamua kunichana live. Park Hyatt na Regency si patajaa kama kila mwenye hadhi akiend huko hapatatosha. Wengine tu ajichanganya huku huku kwenye jamii.
 
Jamaa ameamua kunichana live. Park Hyatt na Regency si patajaa kama kila mwenye hadhi akiend huko hapatatosha. Wengine tu ajichanganya huku huku kwenye jamii.
Ahahaha sure mkuu, jama kaamua kunogesha uzi!!
 
Back
Top Bottom