Jamani huyu Mama Ntilie hatari kwa afya yangu

Rasterman

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
33,905
44,011
Asalam aleykum.

Ni siku ya tatu au nne hivi toka nimeanza kula kwenye huu mgahawa msafi tu baada ya kuhangaika kwa muda kutokana na migahawa mingi ya mess za jeshi na polisi imefungwa ambapo huwa ni karibu ma maeneo yangu kutokana na katazo la kukusanyika na kuepuka misongamano kudhibiti Covid19.

Mara ya kwanza nikaingia na kumkuta mwanadada mzuri mwenye shepu ya haja. Mwenye sauti laini. Alinikaribisha vizuri tu kama mteja wake. Nikapata menu na kuchagua chakula ninachotaka. Kiukeeli nilishangazwa na ucheshi wake mwanzo nikajua ni ukarimu tu na mbinu za kibiasahara huria. Attractivenesa to bussness in customer care so sikuona taabu sana.

Siku ya pili nikapita kunywa Supu, alikuwa akitabasama na kutingisha lile tetemeko la Tsunami pale chini ya kiuno. Nilikuwa navunga. Najifanya kama sioni huku nikiusoma mchezo.

Siku ya tatu nikapita kula supu tena. Akaanza kuniongelesha. Nilpomaliza nikaondoka akaniiliza jioni utarudi nikasema ndio akanijibu kuwa "Mimi sitakuwepo" nikajiuliza kwani mimi nakuja hapa kumtafata yeye au kutafuta chakula? Mimi nisipomkuta yeye hata wengine watanihudumia tu. Nikaondoka.

Leo asubuhi nimepita tena kama kawaida kupiga supu, sijui kama alifanya makusudi au la! Akaanza kupiga mop mbele yangu alimradi tu nishuhudie lile Tetemeko lake la chini ya kiuno, mara achomekee dira ndani ya chupi mara afanye vile, akaja kukaa mezani kwangu nakunipigisha stori za hapa na pale. Na alipotaka kwenda jikoni kwa ajili ya maandalizi ya chakula cha mchana akarudi kuniaga eti " mimi naenda jikoni" nikamjibu poa tutaonana badae. Nikaendelea kusukuma chapati zangu Tatu na supu mbili.

Sasa asidhani mimi ni mjinga na sitakubali kushindwa nampa siku mbili au tatu nitampa anachotaka.

Lakini kama ananifanyia hivyo kwa sababu kodi inatataka kuisha basi amekwama.

Wakuu wazoefu nipeni experience hawa MamaNtilie kuwala sio kujishusha hadhi kweli au mwanamke ni mwanamke tu?
 
Asalam aleykum.

Ni siku ya tatu au nne hivi toka nimeanza kula kwenye huu mgahawa msafi tu baada ya kuhangaika kwa muda kutokana na migahawa mingi ya mess za jeshi na polisi imefungwa ambapo huwa ni karibu ma maeneo yangu kutokana na katazo la kukusanyika na kuepuka misongamano kudhibiti Covid19.

Mara ya kwanza nikaingia na kumkuta mwanadada mzuri mwenye shepu ya haja. Mwenye sauti laini. Alinikaribisha vizuri tu kama mteja wake. Nikapata menu na kuchagua chakula ninachotaka. Kiukeeli nilishangazwa na ucheshi wake mwanzo nikajua ni ukarimu tu na mbinu za kibiasahara huria. Attractivenesa to bussness in customer care so sikuona taabu sana.

Siku ya pili nikapita kunywa Supu, alikuwa akitabasama na kutingisha lile tetemeko la Tsunami pale chini ya kiuno. Nilikuwa navunga. Najifanya kama sioni huku nikiusoma mchezo.

Siku ya tatu nikapita kula supu tena. Akaanza kuniongelesha. Nilpomaliza nikaondoka akaniiliza jioni utarudi nikasema ndio akanijibu kuwa "Mimi sitakuwepo" nikajiuliza kwani mimi nakuja hapa kumtafata yeye au kutafuta chakula?? Mimi nisipomkuta yeye hata wengine watanihudumia tu. Nikaondoka.

Leo asubuhi nimepita tena kama kawaida kupiga supu, sijui kama alifanya makusudi au la! Akaanza kupiga mop mbele yangu alimradi tu nishuhudie lile Tetemeko lake la chini ya kiuno, mara achomekee dira ndani ya chupi mara afanye vile, akaja kukaa mezani kwangu nakunipigisha stori za hapa na pale. Na alipotaka kwenda jikoni kwa ajili ya maandalizi ya chakula cha mchana akarudi kuniaga eti " mimi naenda jikoni" nikamjibu poa tutaonana badae. Nikaendelea kusukuma chapati zangu Tatu na supu mbili.

Sasa asidhani mimi ni mjinga na sitakubali kushindwa nampa siku mbili au tatu nitampa anachotaka.

Lakini kama ananifanyia hivyo kwa sababu kodi inatataka kuisha basi amekwama.

Wakuu wazoefu nipeni experience hawa MamaNtilie kuwala sio kujishusha hadhi kweli au mwanamke ni mwanamke tu?.

Afu acha uzembe jombaa,kitu ya kumaliza fasta na kulete mrejesho eti unauliza ule usile,hebu nipe location yake nikamuangalie ili niweze kukushauri properly!!!
 
Una hadhi gani unayohofia kujishushia..?

Binafsi nimekuvua vyeo vyote ulipotaja tu “chapati TATU na supu MBILI”, mengine yote utakayofanya yameelezewa na kipengere hicho tu.

Osha mikono kwa maji tiririka, vaa barakoa... ishi.
 
Usisahau kuna mgeni mpya town anaitwa CORONA

huyu hasubiri mpk mfike chumbani,huyu yeye yupo chap

kuliko yule jamaa mwingine,sasa we endelea kumuwaza huyo maza.
 
Back
Top Bottom