Huyo anaitwa Catherine Lyombe, Afisa mtendaji wa Jukwaa la wadau wa sekta ya madini, mafuta na gesi. Anapenda kuweka hivyo kichwa chake sijui kwa nini? Hata kwenye Mwananchi ya leo (1 March 2012) ametokea hivyo hivyo!
Wamependeza sana hata ukisoma kwenye gazeti la Mwananchi la leo 01/03/2012 ukurasa wa 5 huyo dada amekenua kweli kuliko hata mama Salma akiwa na mzee wake.