Jamani huyo binti kanishika pabaya aiseee

Jamani huyo binti kanishika pabaya aiseee

Hapa hapa duniani. Si mdomo uliong'atwa na nyigu tu, hata usafiri ni wa BMW. Wewe umeona kalipstic cha mafuta ya nazi udenda unakutoka, lol!
 
hmmmmmmmmmm napita tu..nauliza kama barafu za ukwaju zinapatikana apa
 
Yaani amekudatisha nini yani, hebu fafanua labda kuna vitu hatujaelewa.
 
Mtoa mada...ushafanya home work.? Usije ukachapwa kesho shule
 
Hiyo midomo ni udenda tu saa zote, Sioni cha maana.
 
:becky: Anhaa demu wa Mh Kaptain Komba Huyu...!!! Kumbe na Wew Wako?
 
Mnyanyue kidigo tuone miguu na kifua, kwani lips zinabebwa na hivyo pia....
 
Kuna hypothesis kuwa ukubwa wa lips uko directly proportional na she watafiti mwageni findings
 
Mwe mwe ako ka mdomo kalivyo kathuri haah nikimpata nikunyonyana mpaka asubuhi dah. Mkuu enjoy a life .
 
Yaani kwenye hizo lips zake ni balaa kabisa itabidi ajifiche na manyang'au ya mujini kabisa
ukiangalia jinsi pua lilivyo na lips zake, halafu uka 'kalukaleti' kwa mahesabu ya harakaharaka utagundua kwamba ile pembe yake ndogo ya kule pahala ni ndefu na atakuwa na lips za kutosha tu.
 
Back
Top Bottom